silver25
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 743
- 44
Jaman naomba munishauri maana mimi nikifanya kazi kwa muda mrefu na kujisikia uchovu huwa nachukua Africafee vijiko viwili na sukari kidooogooo kiasi inakuwa chungu ndo nakunywa..
Sasa nasikia inamadhara na nimesha kuwa Adicted naombeni muniambie ili kama kuacha nijue ninaanzaje
Sasa nasikia inamadhara na nimesha kuwa Adicted naombeni muniambie ili kama kuacha nijue ninaanzaje