Hivi ukiitwa Konda ni lazima upige kelele hata kama hakuna abiria?

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
1,298
Najiuliza tu hili swali mara kwa Mara, sasa hebu ndugu zangu nisaidieni.

Kwani ni lazima ukiitwa Konda upige kelele hata kama huoni abiria?.
 
Acha uchochezi kijana, nimesikia huko Arusha raia mwema mmoja alitaka kubambikiwa kesi ya mihadarati!
 
Bila shaka konda angetaka kunyamaza na yeye apumzike, lakini kama dereva ana ghubu lazima konda ajiongeze vinginevyo utasikia shutuma kuwa konda wangu mzembe hapagawishi.

Kuna daladala nimeona limeandikwa 'natafuta konda', huoni ni songombingo hiyo?
 
Najiuliza tu hili swali mara kwa Mara, sasa hebu ndugu zangu nisaidieni.

Kwani ni lazima ukiitwa Konda upige kelele hata kama huoni abiria?.

Swali lingemfaa Mwenye.jina.lake.
 
Na wakati mwingine hupiga kelele ili asipigwe chini na dereva wake. Maana gari alikabidhiwa dereva, dereva akamtafuta konda.
 
Back
Top Bottom