Hivi ukiiokota pochi iliyojaa pesa ya mchungaji au ustaadhi wako mtamrudishia?

Me nimuonea huruma tamrudishia wallet yake kama alipoteza zikiwa kwenye wallet otherwise tampa somo la masomo kwa vitendo, siku nyingine haji kuangusha tena
 
Back
Top Bottom