Hivi ukifanya mapenzi mfululizo unapata madhara gani kiafya?

Maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo chuo IFM watatu UDSM (main compous 2 na mabibo 1) kampala university 2. CBE 2. chuo cha usafirishaji 1. Tambaza secondary 2 . Midland secondary 1. Wafanyakazi 2. Na hawa wote wapo free ni kiasi cha mimi kwenda kuchukua na kulala nao coz wa chuo wapo free hostel . Au wanifuate mimi. Hawa wa secondary pia wanakaa private hostel. Wanaofanyakazi pia wamepanga wako free. Nina line za simu na simu si chini ya tano kuogopa kuwagonganisha. Na sijawahi kuwagonganisha na wote ni waaminifu na wananiamini na tumepima HIV . tupo negative. Hivi sasa ni zaidi ya miaka 2. yaani nawala kavukavu. Sometimes nachoka sana na hata nikitoa bao nahisi halina nguvu kabisa . Swali ni je kuna madhala yeyote nitakayopata now au hapo baadae ya kufanya mapenzi mfulilizo???

prostate cancer i presume 47yrs plus if you are lucky......kama sio very soon HIV .
all the best
 
Network Loading ...
Access Denied!
Network Failure ...
No Particles of Truth Detected ...!

PC Shutting Down!
 
Maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo chuo IFM watatu UDSM (main compous 2 na mabibo 1) kampala university 2. CBE 2. chuo cha usafirishaji 1. Tambaza secondary 2 . Midland secondary 1. Wafanyakazi 2. Na hawa wote wapo free ni kiasi cha mimi kwenda kuchukua na kulala nao coz wa chuo wapo free hostel . Au wanifuate mimi. Hawa wa secondary pia wanakaa private hostel. Wanaofanyakazi pia wamepanga wako free. Nina line za simu na simu si chini ya tano kuogopa kuwagonganisha. Na sijawahi kuwagonganisha na wote ni waaminifu na wananiamini na tumepima HIV . tupo negative. Hivi sasa ni zaidi ya miaka 2. yaani nawala kavukavu. Sometimes nachoka sana na hata nikitoa bao nahisi halina nguvu kabisa . Swali ni je kuna madhala yeyote nitakayopata now au hapo baadae ya kufanya mapenzi mfulilizo???

ningependa kukumbusha wakati unafanya hayo ukumbuke kuvaa condom,siunajua hatujui tuko wangapi ktk huu mtandao?
 
Na wao hawajawahi kukugonganisha na wanakusifu kwa uaminifu wako,hao wapenzi uliokuwa nao 14, zidisha mara 14 nao wanawapenzi wao 14, yaani ni mtandao, na mwisho wa siku maambukizi.
Na kwa kukusaidia haraka hata kama haujapata maambukizi, ni kuwa unafupisha umri wako wa kuishi.

Ha, ha, ha. hebu mwambie maana alikuwa hajui!
 
Naamin hata afya yako itakuwa inayumba...too much of any thing is harmful so u kubali au ukatae lazima kuna madhara behind..kwa mwanamke akifanya sn ngono basi akifikia ule umri wa utu uzima anakuwa anajikojolea..
 
Samahani, naomba mhusika wa hii thread anijuze yeye anaelimu gani,anafanya kazi gani,atuthibitishie kama yeye ni binadamu mwenye akili ya kawaida in terms of IQ
 
Da wewe unathubutu kujcfu kwa hiyo hal kwa kwel ndugu yangu badil tabia na kuwa na mmoja tena uhalalishe kwa ndoa heb kaa utafakar unapata faida gan kujiwekea kuni za kukuchoma moto. ptuuuuu nimekudsvalue kwa hlo ngono si ufahari
 
Maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo chuo IFM watatu UDSM (main compous 2 na mabibo 1) kampala university 2. CBE 2. chuo cha usafirishaji 1. Tambaza secondary 2 . Midland secondary 1. Wafanyakazi 2. Na hawa wote wapo free ni kiasi cha mimi kwenda kuchukua na kulala nao coz wa chuo wapo free hostel . Au wanifuate mimi. Hawa wa secondary pia wanakaa private hostel. Wanaofanyakazi pia wamepanga wako free. Nina line za simu na simu si chini ya tano kuogopa kuwagonganisha. Na sijawahi kuwagonganisha na wote ni waaminifu na wananiamini na tumepima HIV . tupo negative. Hivi sasa ni zaidi ya miaka 2. yaani nawala kavukavu. Sometimes nachoka sana na hata nikitoa bao nahisi halina nguvu kabisa . Swali ni je kuna madhala yeyote nitakayopata now au hapo baadae ya kufanya mapenzi mfulilizo???

Ili upate msaada peleka JF DOKTA, hapa siyo mahala pake bwana mdogo..!!
 
what a shame, ni kama vile unajisifia kwa huo upuuzi wako. unaharibu ecosystem, jaribu kubadili tabia yako or else utaangamia.
 
Back
Top Bottom