Hivi ukifanya mapenzi mfululizo unapata madhara gani kiafya?

kama ni kweli story yako dalili za ugonjwa uliokuwa unautafuta zimeanza kuchoka sana baada ya sex. Kijana jiangalie mwenendo wako si mzuri mwisho wake pabaya.
 
Kwa hakika kama ni kweli siku zako hapa duniani zinahesabika.Anza kufanya maandalizi ya kwenda ahera. Pole sana.
 
Hakuna madhara. Usijali nguvu ya bao, kwani unasaka mtoto? Ungefungua kampuni manake unajichosha kuhangaika kuwadanganya. Wenzio wanaajiri kuwadi (kina magai wanamtumia sebbo), maisha marahisiii.
Hongera sana.
 
Maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo chuo IFM watatu UDSM (main compous 2 na mabibo 1) kampala university 2. CBE 2. chuo cha usafirishaji 1. Tambaza secondary 2 . Midland secondary 1. Wafanyakazi 2. Na hawa wote wapo free ni kiasi cha mimi kwenda kuchukua na kulala nao coz wa chuo wapo free hostel . Au wanifuate mimi. Hawa wa secondary pia wanakaa private hostel. Wanaofanyakazi pia wamepanga wako free. Nina line za simu na simu si chini ya tano kuogopa kuwagonganisha. Na sijawahi kuwagonganisha na wote ni waaminifu na wananiamini na tumepima HIV . tupo negative. Hivi sasa ni zaidi ya miaka 2. yaani nawala kavukavu. Sometimes nachoka sana na hata nikitoa bao nahisi halina nguvu kabisa . Swali ni je kuna madhala yeyote nitakayopata now au hapo baadae ya kufanya mapenzi mfulilizo???

Unakula lakini? au ndo za bila msosi?

Baba UKIPIMA NGOMA UKIWA NEGATIVE LEO HAINA MAANA KUWA UTAKUWA NEGATIVE MILELE!

Hahahahah! Nimekumbuka utamu wa pipi ni mate yako, 'UNAJIKAZA MWENYEWE' halafu unajisifu, Lolest!!
 
Maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo chuo IFM watatu UDSM (main compous 2 na mabibo 1) kampala university 2. CBE 2. chuo cha usafirishaji 1. Tambaza secondary 2 . Midland secondary 1. Wafanyakazi 2. Na hawa wote wapo free ni kiasi cha mimi kwenda kuchukua na kulala nao coz wa chuo wapo free hostel . Au wanifuate mimi. Hawa wa secondary pia wanakaa private hostel. Wanaofanyakazi pia wamepanga wako free. Nina line za simu na simu si chini ya tano kuogopa kuwagonganisha. Na sijawahi kuwagonganisha na wote ni waaminifu na wananiamini na tumepima HIV . tupo negative. Hivi sasa ni zaidi ya miaka 2. yaani nawala kavukavu. Sometimes nachoka sana na hata nikitoa bao nahisi halina nguvu kabisa . Swali ni je kuna madhala yeyote nitakayopata now au hapo baadae ya kufanya mapenzi mfulilizo???

We mpumbavu sana, hamna madhara ila afya inaimarika tatizo umechelewa sana kuingia mjini. Ongeza idadi hiyo mara tatu zaidi au nne, siye tumeshachoka na wewe ukichoka utaacha.

Utakapochoka ukumbuke kunywa dozi kila siku kama ulivyoshauriwa na mmoja wetu.
 
I think i am too old to sniff these rubbishes..
Najuuta kufungua huu uzi..na ili ujue sipendi that's why nimeamua kupost!
 
chuma limoto. umewah kwenda mafia wewe? kuna mmoja alipigwa hii Mungu hataki kijana ilikuwa balaa. anyways hongera kwa kuwachafua wenzio.
 
maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo chuo ifm watatu udsm (main compous 2 na mabibo 1) kampala university 2. Cbe 2. Chuo cha usafirishaji 1. Tambaza secondary 2 . Midland secondary 1. Wafanyakazi 2. Na hawa wote wapo free ni kiasi cha mimi kwenda kuchukua na kulala nao coz wa chuo wapo free hostel . Au wanifuate mimi. Hawa wa secondary pia wanakaa private hostel. Wanaofanyakazi pia wamepanga wako free. Nina line za simu na simu si chini ya tano kuogopa kuwagonganisha. Na sijawahi kuwagonganisha na wote ni waaminifu na wananiamini na tumepima hiv . Tupo negative. Hivi sasa ni zaidi ya miaka 2. Yaani nawala kavukavu. Sometimes nachoka sana na hata nikitoa bao nahisi halina nguvu kabisa . Swali ni je kuna madhala yeyote nitakayopata now au hapo baadae ya kufanya mapenzi mfulilizo???
muda si mrefu utalegea kiuno,utakuwa unatembea unayumba kama umelewa au umechomoka ugwe mgongo.njia pekee ya kukunusuru itakuwa ni kukuwekea chuma kiunoni ambapo baada ya hapo utaweza kuendelea na kugawa dozi ila utatakiwa tu kuwa makini chuma hicho kisichomoke.zaidi ya hapo upo sawa kabisa endelea!
 
Tehe tehe tehe jf never bored.
 
Wewe ni JACKSON ......kuna msichana wa IFM ulizaa nae unamtesa matunzo ya mtoto huna huruma wala hujali matatizo unayowasababishia watoto wa watu acha hiyo tabia yule wa mabibo mambo yameharibika wale 2 wa IFM unajua wagonjwa bado unajisifu aagr....acha.

yaribi toba
 
Back
Top Bottom