Hivi ukifanya mapenzi mfululizo unapata madhara gani kiafya?

Nina imani wote walioipitia hii thread wanakufananisha na boby (dog), kijana kama wewe haiingii akilini. Na pili sio practical, usijipe ushujaa wa katuni.............
 
Rekebisha hii stori angalau iwe na ukweli kwa 10% tu, maana hapa ni 0.005%!!!

Naungana wewe huyu kaja kutuletea uozo hapa ameshindwa kutengeneza uongo unaofanana na ukweli japo kwa mbaali
 
Maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo chuo IFM watatu UDSM (main compous 2 na mabibo 1) kampala university 2. CBE 2. chuo cha usafirishaji 1. Tambaza secondary 2 . Midland secondary 1. Wafanyakazi 2. Na hawa wote wapo free ni kiasi cha mimi kwenda kuchukua na kulala nao coz wa chuo wapo free hostel . Au wanifuate mimi. Hawa wa secondary pia wanakaa private hostel. Wanaofanyakazi pia wamepanga wako free. Nina line za simu na simu si chini ya tano kuogopa kuwagonganisha. Na sijawahi kuwagonganisha na wote ni waaminifu na wananiamini na tumepima HIV . tupo negative. Hivi sasa ni zaidi ya miaka 2. yaani nawala kavukavu. Sometimes nachoka sana na hata nikitoa bao nahisi halina nguvu kabisa . Swali ni je kuna madhala yeyote nitakayopata now au hapo baadae ya kufanya mapenzi mfulilizo???

hakuna madhara yeyote..we endelea tu.huo ndio uanaume wenyewe.
 
Najuta kufungua huu uzi

lol, hata mie najuta.
Kuna habari nyingine ukizisoma zinakuharibia siku.
Mtu mugaribifu na mzinifu mkubwa halafu wala hanampango wa kuacha na anajivunia kutaja listi ya wazinifu wenzake.
 
Tubu dhambi hiyo ya uasherati na Mwombe Bwana Yesu akuokoe na uchafu huo haraka sana. Mungu anakupenda sana chukua hatua kabla hujachelewa. Dhambi inapofanywa huonekana tamu lakini mwisho wa siku ni majuto ya muda mfupi - kupata magonjwa ya zinaa nk,; namajuto ya muda mrefu kukosana na Mungu wako milele.
 
Mh! dogo njoo nkuajiri aisee nina shamba kubwa tu la machungwa nimekosa mtunzaji!!!
fasta ni-PM najua ukosefu wa ajira ndo unakuzingua!
 
Ulijuaje kama waaminifu? Tupishe sie kama ulivowakusanya kama fungu la nyanya na wao wana madume zao tele...halafu pole yako hizo zote si sifa ni fedheha mwanaume hasa anaestahiki kuwa mwanaume hana tabia chafu kama hizo...

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Madhara makubwa unayopata kaka ni kumkosea Mungu wako na dhambi unazotenda. Biblia inasema dhambi huzaa mauti. Dhambi inatokana na tamaa zako za mwili.
Mshahara wa dhambi hizo uzichumazo sasa ni mauti. Mauti si kifo kwa taarifa yako. Ni mateso ya milele jehanamu. Pia biblia inasema aziniye na mwanamke ni mpumbavu.
Naomba nikupe jina la mpumbavu rasmi kwa sasa.
Nakushauri kama we ni rijali, mpaka sasa una sample ya kutosha kuchagua mmoja toka hapo kwenye hao ishirini na ushee uoe na kuishi maisha yampendezayo Mungu.
Muombe Mungu wako akusamehe na umpokee Yesu kua mwokozi wa maisha yako.
Utakua umeishinda mauti na kuhesabiwa haki mbinguni.
Kinyume cha hayo, jehanamu yajitengenezea familia nawe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ivi wa kike anaitwa malaya na wa kiume anaitwaje......
Kuna haja ya kutafuta jina apa maana kuna vidume vinaona sifa kukanyaga mademu lukuki
Kumbuka ARV nyingi ni feki kwa sasa
 
Bila shaka kashata na kahawa ilienda vyema kwenye icho ki-stone(kijiwe)
 
Km ni JACKSON hana ubavu huo wa kupiga mfululizo wiki au hata siku 3 mademu tofauti ni ujana akikua ataacha maana saa hizi anadhani anawakomoa kumbe mahali ulipotokea huwezi ku.....
 
Maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo chuo IFM watatu UDSM (main compous 2 na mabibo 1) kampala university 2. CBE 2. chuo cha usafirishaji 1. Tambaza secondary 2 . Midland secondary 1. Wafanyakazi 2. Na hawa wote wapo free ni kiasi cha mimi kwenda kuchukua na kulala nao coz wa chuo wapo free hostel . Au wanifuate mimi. Hawa wa secondary pia wanakaa private hostel. Wanaofanyakazi pia wamepanga wako free. Nina line za simu na simu si chini ya tano kuogopa kuwagonganisha. Na sijawahi kuwagonganisha na wote ni waaminifu na wananiamini na tumepima HIV . tupo negative. Hivi sasa ni zaidi ya miaka 2. yaani nawala kavukavu. Sometimes nachoka sana na hata nikitoa bao nahisi halina nguvu kabisa . Swali ni je kuna madhala yeyote nitakayopata now au hapo baadae ya kufanya mapenzi mfulilizo???

Kama ulipost ili tukupe hongera najua hukuitegemea ya kwangu...lakini ninakupa tena bila kinyongo...HONGERA kidume! Ukishapata 'ngoma' njoo utatukuta tu kule JF Doctors. Ushauri tunatoa bureeeee!

NB: Huko kwenye nyekundu, ukimaliza miezi mi3 bila ngoma naacha udaktari!
 
Back
Top Bottom