Jambo ndugu zangu nataka kuhuliza jambo
Hivi huu msemo wa kuwa ukifa unazaliwa tena uaga ni kweli au uongo ?
Mwaka 2007 tulifiwa na mdogo wetu wa kiume
Mwaka 2008 mama akazaa mtoto mwengine wa kiume
Sasa huyo mdogo wangu aliyefariki mwaka 2007 na huyu ambaye alizaliwa 2008 wanafanana kila kitu Kuanzia sura , tabia na pia huyo mdogo wangu alikuwa ana alama kichwani na alama hiyo anayo pia
Na cha ajabu siku hile hile aliyo zaliwa huyo marehemu ndo siku ambayo uyo mdogo wangu alizaliwa tena kwa style hile hile ya mama kuzalia ndani ya nyumba ndo aliyo zaliwa na huyo naye
Sasa kibaya zaidi tunafanyaga tukimuonyesha picha za huyo marehemu ana liaga saana au tukimkumbushia au kumtania kwa muita jina hilo analiaga saana