Hivi ukiachana na mwanamke nini unatakiwa kufanya?

Hivi ukiachana na mwanamke yapi kati ya haya ufanye

1.muendelee kuwasiliana kama rafiki

2.umblock namba zake musiwasiliane yan kila mtu ajue maisha yake ??

Ukimwacha hutakiwi kuuliza cha kufanya
 
Inategemea Kama nimemuacha mimi ndo ataenda hivyo ila Kama yeye ndo kaniacha halafu bado nampenda walahi ajue dunia hii ni ndogo sana!,nahakikisha namroga!.
Siwezi vumilia maumivu ya mapenzi mimi!
 
Back
Top Bottom