Hivi ukiachana na mwanamke nini unatakiwa kufanya?

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
998
545
Hivi ukiachana na mwanamke yapi kati ya haya ufanye

1. Muendelee kuwasiliana kama rafiki

2. Umblock namba zake musiwasiliane yaani kila mtu ajue maisha yake?
 
mzeee mwenzangu usifute no wala kum-block maana huwa kuna siku mambo yanakologeka halafu huyo mtu anakua msaada kwenye njaa
 
Hivi ukiachana na mwanamke yapi kati ya haya ufanye
1.muendelee kuwasiliana kama rafiki
2.umblock namba zake musiwasiliane yan kila mtu ajue maisha yake ??
Mi sijui coz sijawahi kuachana na mwanamke huwa tunapoteana tu
Siku tukikutana au nikkumbuka namtafuta tunakumbushia
Awe kashaolewa awe ana mtoto mi sijaliii nagonga nasepaaa

Hapo nimkumbuke Tena au ajipekeze mwenyewe
 
Hivi ukiachana na mwanamke yapi kati ya haya ufanye
1.muendelee kuwasiliana kama rafiki
2.umblock namba zake musiwasiliane yan kila mtu ajue maisha yake ??
Dah....kwa kifupi....hakuna mwanaume ambaye huacha mwanamke kabisa...ukikuwa utalijua Hilo 🤭
 
Banaa, mambo ya kublockiana ni ya kizamani sana, unamuacha/anakuacha kila mtu anapita hivi anaendelea na maisha yake.

Unamblock wakati kuna option ya ku unblock sini us*nge huo, haina tofauti na kufuta namba ya mtu kwenye simu wakati unayo umeikariri kichwani mpaka tarehe aliyoisajilia..
 
mkiachwa achikeni il wengine waliokuwa wanawatamani na kuwapenda wawapate, sio mnagandana kama ruba,,mtu umemuacha unachat naye wann? mnaongea nn? kama sio kupoteza muda, chmsng ni kufanya utu wa kuacha namba yake napo kwa utu tu, lkn hapo nikupotezeana mazma il kuruhus maisha mengine yasonge mbele, jifunzen kuacha, mbna kuna mambo mengi yakufanya zaid ya kupalangana na max wenu....jamn tubadiriken hee
 
Point aisee..
 
Back
Top Bottom