Hivi ukiacha pesa wanaume mna nini cha kuiteka akili ya Mwanamke?

Kikubwa ni kutafuta pesa na si kuanza kutafuta visingizio kuwa wanawake wanapenda pesa,sijui wanaona pesa ndio mapenzi.
Ni kweli mapenzi na pesa vinaenda sambamba na hayupo mtu hii dunia hapendi pesa.
Kuvumilia tabu siyo sifa.
Umesema vyema miss,, ndio maana kuna sehemu mimi pia niliandika kua kuna muda siwalaumu wanawake sababu system ya maisha ina force mambo yawe hivi kama yalivyo sasa. Nadhani hapa tumeshamaliza mjadala ila naomba nikuulize swali extra tu.

Katika mahusiano kutafuta pesa inaonekana kua jukumu au wajibu wa mwanaume peke yake, je wajibu wa mwanamke katika mahusiano ni upi?
 
Katika ndoa mwanaume wajibu wake mkuu ni kutafuta pesa.
Wajibu wa mwanamke ni kutunza familia na kumhudumia mumewe,, akienda kutafuta pesa hiyo ni ziada.

Lakini hiyo haimzuii mwanamke kutafuta pesa,anaweza kufanya tu kwa mapenzi Yake lakini si jukumu lake kuu.
Hiyo ni nature,ndiyo maana hata mwanamke awe na hela vipi bado anahitaji kutunzwa na mumewe.
 
Wanasema "Umaskini umefanya wanawake waamini kupewa pesa ndio kupendwa na mwanaume kua na gari ndio alama ya utajiri"

*Anyway umeandika vizuri sana ila kuna muda siwalaumu hawa wanawake kwa sababu mfumo au zama hizi za sasa (social networks n.k, starehe) automatic zinawafanya wawe interested na pesa pia ugumu wa hali ya maisha nayo inachangia.

Kifupi sasa hivi mwanaume kama huna pesa wanawake wengi kama sio wote utaishia kuwaita shemeji. Japo mazali ya mentali (mimi napenda kuyaita zali la titanic) kutokea tu kupendwa na mwanamke bila kujali hali yako ya kipato" lakini madhara yake ni makubwa sana kuna probability akashindwa kuvumilia siku za mbeleni

Binafsi ukitoa pesa naona hakuna kitu kinachomshawishi (kuiteka) tena mwanamke bila pesa the rest ndio hio nimesema zali la titanic, hata mwanaume unakua huna confidence wala power kwenye mahusiano yako,mfano mzuri Fundi gereji Uchebe.
Well said
 
Mfano wapo wanaosema eti kumtosheleza mkeo au mpenzi wako ndo kikubwa hata kama huna pesa..na kwamba ukiwa na pesa atagongwa na wanaomtosheleza....naweza kubaliana na hili ila atachepuka kwa siri bila ww kujua kuepuka karaha ya kutoswa na mwenye mahela yake.
Mwanamke yupo radhi aolewe na mzee ambae shughuli ya kutinduana ni mbinde ila maisha saaaafi...wa kumtindua vzr hawezi kosa
Inshort hakuna kinacho mridhisha mwanamke katika hi dunia when it comes suala la mahusiano " ukiona mwanamke ametulia kwa mwanaume tambua kwamba hicho ni kipindi cha mpito tu

But mwanamke huna kitu cha kumuambia mbele ya pesa
 
Kikubwa ni kutafuta pesa na si kuanza kutafuta visingizio kuwa wanawake wanapenda pesa,sijui wanaona pesa ndio mapenzi.
Ni kweli mapenzi na pesa vinaenda sambamba na hayupo mtu hii dunia hapendi pesa.
Kuvumilia tabu siyo sifa.
Logic ya kutafutq pesa iwe ni kwaajili ya manufaa yako mwenyewe katika maisha ukiachana na sex toka kwa wanawake maisha yana mahitaji mengi sana ya msingi na huwa haya ishi changamoto ... Mimi natafuta pesa ili niishi luxury life na sio kwaajili ya kumu impress mtoto wa kike ... Wanawake hawatabiriki utampatia pesa zako na kila aina ya starehe then at ends of the day utamkuta analiwa na mtu mwenye hadhi ya kuwa muajiriwa wako ...... Let's find money for our luxury living
 
Katika ndoa mwanaume wajibu wake mkuu ni kutafuta pesa.
Wajibu wa mwanamke ni kutunza familia na kumhudumia mumewe,, akienda kutafuta pesa hiyo ni ziada.

Lakini hiyo haimzuii mwanamke kutafuta pesa,anaweza kufanya tu kwa mapenzi Yake lakini si jukumu lake kuu.
Hiyo ni nature,ndiyo maana hata mwanamke awe na hela vipi bado anahitaji kutunzwa na mumewe.
Asante sana kwa majibu murua, huo ni wajibu wa mwanamke katika ndoa kutokana na maelezo yako.
Je wajibu wa mwanamke katika mahusiano ya kawaida (boyfriend & girlfriend) before ndoa ni upi?

Maana bado katika mahusiano hayo pia mambo ya financial ambaye anaonekana kua responsible nayo ni mwanaume.
 
Bonge 1 la point,, nadhani umemaliza kila kitu.
 
Asante sana kwa majibu murua, huo ni wajibu wa mwanamke katika ndoa kutokana na maelezo yako.
Je wajibu wa mwanamke katika mahusiano ya kawaida (boyfriend & girlfriend) before ndoa ni upi?

Maana bado katika mahusiano hayo pia mambo ya financial ambaye anaonekana kua responsible nayo ni mwanaume.
Hi hayohayo
Japo atakuhudumia ukishamuoa..jukumu la kuprovide bado ni lako.Huwezi sema kwa sababu bado hakutunzii familia basi usimpe hela.
 
Logic ya kutafutq pesa iwe ni kwaajili ya manufaa yako mwenyewe katika maisha ukiachana na sex toka kwa wanawake maisha yana mahitaji mengi sana ya msingi na huwa haya ishi changamoto ... Mimi natafuta pesa ili niishi luxury life na sio kwaajili ya kumu impress mtoto wa kike ... Wanawake hawatabiriki utampatia pesa zako na kila aina ya starehe then at ends of the day utamkuta analiwa na mtu mwenye hadhi ya kuwa muajiriwa wako ...... Let's find money for our luxury living
Kwa mawazo yako upo sawa tu
Maana niliwahi kukusoma sehemu ukisema huna mpango wa kuoa.

Mwanamke ni sehemu ya maisha yako
 
vise versa is true .... Wanaotafuta pesa kwaajili ya wanawake na kuwapa kila kitu wanacho hitaji wakidhani kwamba ndio itachangia kuwabakisha wanawake hao katika himaya zao mwisho wa siku huwa wanapigwa matukio then wanaishia kujinyonga au kufa kwa stress refer ya Ndikumana na Irene uwoya

Nikimpata mtoto mzuri kama wewe naona lol

Let's find money for our luxury living
 
Kuna wanaotafuta pesa na kuwapa wanawake wao na wanaishi maisha mazuri tu!
Try to be an optimist

Kwani ukiwa unaprovide kwa mwanamke,inakuzuia wewe kuishi maisha mazuri??
 
Kuna wanaotafuta pesa na kuwapa wanawake wao na wanaishi maisha mazuri tu!
Try to be an optimist
Hao walitafuta kwaajili ya kuishi maisha mazuri

Starting goals haikuwa wao kutafuta ili wawe wanawapa pesa wanawake.... Mbona hata mimi kumpa pesa mwanamke ninaweza nanimesha wapa wengi tu "" but nachopinga ni kuwa na malengo ya kutafuta pesa ili umfurahishe mtoto wa kike hapo utageuka kuwa mtumwa wa maisha ya mtu mwingine so hiyo kitu kwangu ni BIG NO ..

Tunapaswa kutafuta pesa kwa mbinu zote halali ili tuweze kurahisisha wepesi wa kupatikana kwa mahitaji yetu so if mwanamke atakuwa ni sehemu ya hayo mahitaji ruksa kutumia ili umpate
 
Pesa inqtafutwa kwa malengo mengi
Hata hayo maisha luxury unayoyasema yanazama humohumo ndani kwenye kumridhisha mwanamke.
 
Kila mtu atafute zakwake ... Huu ukiritimba umejaa sana Africa katika mataifa yaliyopiga hatua katika sekta ya uchumi hauwezi kukuta huu ujinga
 
Dah.....
1606888767003.png
 
Katika ndoa mwanaume wajibu wake mkuu ni kutafuta pesa.
Wajibu wa mwanamke ni kutunza familia na kumhudumia mumewe,, akienda kutafuta pesa hiyo ni ziada.

Lakini hiyo haimzuii mwanamke kutafuta pesa,anaweza kufanya tu kwa mapenzi Yake lakini si jukumu lake kuu.
Hiyo ni nature,ndiyo maana hata mwanamke awe na hela vipi bado anahitaji kutunzwa na mumewe.
Kila mtu atafute zakwake ... Huu ukiritimba umejaa sana Africa katika mataifa yaliyopiga hatua katika sekta ya uchumi hauwezi kukuta huu ujinga
Hiyo comment yangu umeisoma?
Hiyo ni nature,hakuna cha ukiritimba wala ndugu yake ujinga.
 
Back
Top Bottom