nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,622
Msaada plZ
Kama haukuchukua mkopo pesa yako utalipwa kutegemeana na umechangia muda gani
hamna uhusiano kati ya Taasisi uliyochukua mkopo na mfuko wa jamii unao kutunzia mafao yako.unapewa mafao yako kwanza alafu wwndio unaamua ulipe deni au laaKama ulikopa,ile pesa ndio inatumika kulipia mkopo wako na kibachobakia ndio ubapewa ingawa Unakua umebakiwa pesa kidogo sana.ukifatilia unapewa coz ni michango yako
Jibu ni ndio,pia utai\kuwa pensionable kama umefikisha miaka 15 ya utumishi wako kazini na utakuwa na haki ya kulipwa kwa mafao ya Mkupuo.kama ujafikisha umri huo utalipwa michango yako ya kila mwezi na ya mwajiri wakoMsaada plZ
Hahahaaaa pole sana.pesa yako I naenda kwa mwajiri wako kisha inakatwa na kiasi kinachobaki ndio unapewa.nimejionea mimi nilipoacha kazi polisihamna uhusiano kati ya Taasisi uliyochukua mkopo na mfuko wa jamii unao kutunzia mafao yako.unapewa mafao yako kwanza alafu wwndio unaamua ulipe deni au laa
Kaka nicheki kupitia hii what's upMsaada plZ
0765626370Kaka nicheki kupitia hii what's up
hamna uhusiano kati ya Taasisi uliyochukua mkopo na mfuko wa jamii unao kutunzia mafao yako.unapewa mafao yako kwanza alafu wwndio unaamua ulipe deni au laa
Kwa sasa hatuna Fao la kujitoa na kwa maelezo zaid tembelea office zetu ambazo zipo karibu na weweVipi kuhusu PPF?
sasa maelezo ya nini?Kwa sasa hatuna Fao la kujitoa na kwa maelezo zaid tembelea office zetu ambazo zipo karibu na wewe
Wakuu kuna ndugu zangu flan hv walikua wanafanya kazi Kiwanda cha Tumbaku morogoro.na mikataba yao imeisha sasa walipoenda kwenye mifuko ya Hifadhi walipochangia ili wakachukue chao wameambiwa kuwa kwa sheria mpya iliyoanza kufanya kazi kuanzia July 2016 ni kwamba mtumishi yeyote aliyemaliza mkata sehemu aliyoajiriwa hatapewa hela yake aliyochangia hadi afikishe umri wa miaka 55. Pia kama atapata kazi sehemu nyengine ataendeleza tu account ile ile kwa muajiriwa mpya.