Hivi ujio wa will smith haujawa neema kwa bongo muvi?

dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
2,038
3,124
Maana kwa upande wa muziki wasanii wetu huwa hawapotezi bahati inapotokea anakuja msaani wa nje watafanya juu chini mpaka wapate collabo kama ilivyo kuwa kwa ndgu yetu Diamond alivyopiga collabo na Neyo...

Sasa sijasikia kwa upande wa bongo muvi Au Huenda wameshapata kwahyo tukae mkao wa kula......
 
Hao Bongo Muvi wako wataongea kwa Kindengereko na Willy Smith Mkuu? Wewe unadhani wamependa kumkwepa?
 
Bongo movie si ndo wema sepetu??..ina maana hujui yaliyomsibu au?..kama hujui basi subiri tupate vyeti kwanza halafu tulianzishe tena..utamjua tu
.
 
Hao Bongo Muvi wako wataongea kwa Kindengereko na Willy Smith Mkuu? Wewe unadhani wamependa kumkwepa?
mkuu na mbona wengi kiswahil kina washinda wanapenda kuongea kingereza we huwasikiii wakiwa wanahojiwa
 
Back
Top Bottom