Hivi Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato na ufisadi wa Escrow upi umeligharimu Taifa?

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,740
2,000
Wana JF,

Tafadhali naombeni majibu kama kuna mwenye jibu tafadhali.

Swali lenyewe ni hili hapa: Hivi ufisadi wa kujenga uwanja wa ndege Chato bila kufuata taratibu, na sheria za nchi na ufisadi wa Tegeta escrow acc, ni ufisadi upi mkubwa ambao utaligarimu taifa kwa muda mrefu?
 

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
3,827
2,000
Hakuna ufisadi wa uwanja wa ndege Chato. Ungekuwepo si ungesikia unajadiliwa Bungeni kama ufisadi wa Escrow, Richmind n.k si unaona kimya? Si redioni wala magazetini.
 

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,134
2,000
Kuna Lami kila mtaa wa Chato mjini, Kuna bandari mpya inaitwa ya " kimkakati" inajengwa Nyamirembe Chato, Kuna hospital kubwa ya rufaa, TRA ofisi kubwa, CRDB wanajenga jengo lao la ghorofa pale Chato nk. Why?hivi vitu vyote kwenye Wilaya ndogo Kama hiyo ?Hiyo Ni homework nakupeni
 

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,591
2,000
Wana JF,

Tafadhali naombeni majibu kama kuna mwenye jibu tafadhali.

Swali lenyewe ni hili hapa: Hivi ufisadi wa kujenga uwanja wa ndege chato bila kufuata taratibu,na sheria za nchi na ufisadi wa Tegeta escrow acc, ni ufisadi upi mkubwa ambao utaligarimu taifa kwa muda mrefu?
Sakata la Richmond mpaka linafikia tamati Richmond haikuwahi kulipwa hata 100 na serikali!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom