Hivi uheshimiwa kwetu una maana ile iliyokusudiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi uheshimiwa kwetu una maana ile iliyokusudiwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiby, Mar 8, 2010.

 1. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kutafakari juu ya hii title ya heshima tunayotumia kwa viongozi wetu kwa kuwaita 'waheshimiwa'. Kwa kweli nilichogundua ni kwamba kuna wanaostahili uheshimiwa, na baadhi hawakustahili kabisa uheshimiwa kiasi kwamba kuwaita waheshimiwa ni kama tunajitukana wenyewe kwa kujizihaki. Hivyo basi nimekuja na mapendekezo yafuatayo hapa JF.
  (1)Mtu yeyote yule abaki kuwa ndugu/dada, mpaka hapo atakapojithibitisha kwamba kwa jitihada zake binafsi au kwa kushirikisha wengine zimeleta manufaa ya kimaendeleo kwa jamii.
  (2) Kuwe na jopo la watu waliotukuka ndani ya jamii kuanzia ngazi ya jimbo hadi taifa watakaopewa mamlaka ya kisheria kumtangaza mtu kuwa ni mheshimiwa kwa minajili ya kazi zake zilizo wazi.
  Hii inatokana na wimbi la baazi ya watu kuupata ubunge kwa njia za ajabu ajabu na za aibu, zaidi sana kwa kununua na hivyo kujikuta wakipewa heshima ya mheshimiwa wasioistahili kabisa. Na kibaya zaidi baazi yao wanajikuta wamefikia ngazi ya uwaziri.
  Hili mnaliona je wana-JF?
   
Loading...