hivi Uganda, Rwanda, Ethiopia, Kenya na Sudan kusini zinajiandaa kupigana na Misri?

Kenya imepata maji mengi chini ya ardhi katika eneo kame kabisa ya Turkana

nimeona hiyo kwenye gazeti leo nafikiri watapunguza munkari wa kutumia maji ya nile. jamaa wa daily news wamesema maji yaliyochini ya ardhi katika africa ni mara 100 ya yale yaliyopo juu ya ardhi. ila wamesema wanatakiwa wayafanyie kwanza vipimo unaweza kuta ni maji chumvi.
 
Mkuu unaweza kunieleza uhusiano uliopo kati ya Misri, Israel na USA, nimewahi kusikia kua katika utawala wa misri tokea kwa Gamar Nasri haijawai tokea kwenye Cabinet akakosa mtu mwenye asiri ya Israel na Misri ni nchi ya pili dunia kusaidiwa na USA baada ya Israel.
Misri inasaidiwa hasa upande wa jeshi ili isiipige Israel. Makubaliano ndio hayo, ndio maana US haiwezi kumkubali Morsi
 
Misri inasaidiwa hasa upande wa jeshi ili isiipige Israel. Makubaliano ndio hayo, ndio maana US haiwezi kumkubali Morsi

Mkuu sijui kama hiyo ndo sababu kubwa lakini yawezekana kuna yaliyo nyuma ya pazia katika uhusiano wa haya mataifa matatu(Miasri,Israel & USA). Umewahi kufuatilia baadahi ya picha za kwenye dola zina maana gani, kuna mambo mengi ambayo nadhani kwa sisi hatuyajui yanayofanyika katika mataifa hayo matatu.
 
uhusiano huo uko official mkuu sio jambo la siri siri ni kitu ambacho kiko wazi kabisa na kila mtu anajua. Siku misri itakapovamia israel, marekani ataishukia.
 
Swali
Kwa nini katika huo Muungano TZ haimo na hali ndo yenye eneo kubwa la ziwa Nyanza?
Je, Tz leo hii ikaamua kufanya miradi kadhaa ya kuyatumia hayo maji, je hizo nchi zitaamua kuivamia tz?
tumekataa kujiunga katika defense pact na nchi zenye viongozi na msimamo wa kiuchokozi (aggressors) yaani ujiunge na Kagame na Mseveni na Ethipia nchi ambazo kila siku zinatoboana macho na wengine! Tuna wazimu au si kujiingiza kwenye majanga huko!
 
uhusiano huo uko official mkuu sio jambo la siri siri ni kitu ambacho kiko wazi kabisa na kila mtu anajua. Siku misri itakapovamia israel, marekani ataishukia.

Mkuu Misri haiwezi kuivamia Israel hata siku moja, jesho la Misri lina viongozi wengi waandamizi ambao ni waisrael. Hwawezi kuruhusu kitu kama hicho, katika mahusioano kuna mambo ambayo yako wazi lakini kuna manegine tena mabaya zaidi ambayo hayako wazi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom