Hivi ufalme wa BB(Blackberry) umeishia wapi??

Htc chacha.. iliniumiza akili sana
Hahah, kituu
chacha-1.jpg
 
Mkuu hii passport ndo kumbukumbu iliyobaki ya simu boss.
Mkuu naelewa umuhimu wa kumbukumbu Ila nazzipenda sana gadgets za blackberry....pls najua labda hujadhamiria kuiuza lakin kama huitumii Mimi naihitji kuliko kawaida. Seriously need it
 
Mkuu naelewa umuhimu wa kumbukumbu Ila nazzipenda sana gadgets za blackberry....pls najua labda hujadhamiria kuiuza lakin kama huitumii Mimi naihitji kuliko kawaida. Seriously need it
Naomba nisamehe boss wangu. Halafu zipo mbona kwenye maduka ya mitumba. Ngoja ntakuulizia.
 
Utaskia Coco Ping

PING!!!

Umenikumbusha mbali sanaa .. kwakweli hata mimi leo ukinipa BB nachukua niwe hata natuma msg tu hasahasa Curve au Bold
 
Back
Top Bottom