donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
- Thread starter
- #81
Hahah, kituuHtc chacha.. iliniumiza akili sana
Hahah, kituuHtc chacha.. iliniumiza akili sana
Ipi hapo Haina camera mkuu?Ungese mwingine huu sasa ninunue cm 1m haina camera...sasa hata kwenye matukio muhimu hata kumbukumbu huchukui?
Mkuu hii passport ndo kumbukumbu iliyobaki ya simu boss.Mkuu kama hutojali....naihitaji hiyo passport yako na Mimi nipate ladha ya BB. Pls am serious.
Nicheki pm Niko Mwanza
Mkuu naelewa umuhimu wa kumbukumbu Ila nazzipenda sana gadgets za blackberry....pls najua labda hujadhamiria kuiuza lakin kama huitumii Mimi naihitji kuliko kawaida. Seriously need itMkuu hii passport ndo kumbukumbu iliyobaki ya simu boss.
Naomba nisamehe boss wangu. Halafu zipo mbona kwenye maduka ya mitumba. Ngoja ntakuulizia.Mkuu naelewa umuhimu wa kumbukumbu Ila nazzipenda sana gadgets za blackberry....pls najua labda hujadhamiria kuiuza lakin kama huitumii Mimi naihitji kuliko kawaida. Seriously need it
PoaNaomba nisamehe boss wangu. Halafu zipo mbona kwenye maduka ya mitumba. Ngoja ntakuulizia.
Mkuu si uchukue hiyo z30 kwa kikuuMkuu naelewa umuhimu wa kumbukumbu Ila nazzipenda sana gadgets za blackberry....pls najua labda hujadhamiria kuiuza lakin kama huitumii Mimi naihitji kuliko kawaida. Seriously need it
kabisa.Utaskia Coco Ping
PING!!!
Umenikumbusha mbali sanaa .. kwakweli hata mimi leo ukinipa BB nachukua niwe hata natuma msg tu hasahasa Curve au Bold