HIVI UDAKIZI(Hacking) ni kosa hapa Tanzania?

kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
282
Great thinkesr naomba kujua kama hacking ni kosa hapa Tz na ni kwa sheria ipi. Mbona kozi hizi zinafundishwa kwenye vyuo vingine nje ya nchi?
 
Nilisha uliza humu ndani sikupata hata kifungu kimoja katika sheria kinacho kataza hacking ila matokeo ya hacking nadhani ndio kosa...
 
Kwanza umekosea sio udakizi ni udukizi,pili hicho kitu ni kosa ila kwa Tanzania sheria bado haijatungwa.
 
Kwanza umekosea sio udakizi ni udukizi,pili hicho kitu ni kosa ila kwa Tanzania sheria bado haijatungwa.

hakuna kosa kama hakuna sheria inayokataza...kwa hiyo kwa Tanzania hacking sio kosa....isitoshe ili ufungwe kwa wizi lazima kuwe na mtu atakayetoa ushahidi kuwa alikuona ukiwa umeiba au umekamatwa na mali ya wizi...sidhani kama Intelijensia ya polisi wetu wana uwezo wa kugundua hiyo kitu inayoitwa hacking
 
kwani hacking ni nin?...me navojua hacking sio kosa ila cracking ndo kosa
 
Hi Folks,

Let me start by stating a brief description of what hacking means (in my own defination, not wikipeida).

Hacking is means of obtaining information or data by exploiting systems/applications vulnerability. However, hacking can also be used to asses potential risks on systems and take necessary steps to mitigate potential exploits. This is called "ethical hacking" and it what it been taught in Universities and other IT centers.

But most of the time hacking is used for personal gain. Stealing someone's identity and using it in the global network. The legal side of hacking is covered under the international laws and if you are caught, you could be extradited to another country or state to face legal charges.

In short my friends, HACKING IS ILLEGAL. Like many other Tanzania laws, they exists but are not exercised.

Thanks,
Elly
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom