Hivi uchaguzi wa nchi hii 2010 ni wa ccm pekee??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi uchaguzi wa nchi hii 2010 ni wa ccm pekee???

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pdidy, Jul 31, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Samahan wapendwa kama ntawaudhi
  kuna jambo linanitatiza kila nikiamka asbh ni kura za ccm
  waziri wa ccm,diwan wa cc,katibukata wa ccm,mkuu wilaya wa ccm
  kakamatwa na rushwa najiuliza hivi akuna vyama vingine ama ndio urasmi wa magazeti...najiuliza mara 2*2...embu tuwe pamoja tusiue democrasia jamani kuna wakina silaa wachunguzen nao...wafwatilien wakina mwanyika n wngine ingawa amtawapata at least mmekuwa na democrasia lakini hii ya kuamka kila abh ccm ccmccm ipo siku tutasema basi..imetosha
   
Loading...