Uchaguzi 2020 Hivi Uchaguzi wa mwaka huu mabango yanazuiwaje?

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,439
12,596
Mafukara (95%) ya Watanzania wana mengi ya kusema kwa hawa wagombea kupitia mabango.

Mabango ni Direct messages ambapo wasio na uwezo wa kumuona Rais Wa Wanyonge ana kwa ana wanamrushia live. Sasa nashangaa. Ni wagombea hawapendi au ni wasaidizi wa wagombea wanajipendekeza.

The only bango that moves ni "MAGUFULI MIAKA 5 TENA" Hivi kweli wa Tanzania tumekuwa malofa na wapumbavu kiasi hiki!?

Jana Shinyanga Magufuli kapewa kero kibao za wanashinyanga aziseme yeye.. I am sure michomo mingi kaikwepa.

Embu CCM msituharibie Nchi.

We need live Campaigns

We need voters to express their views

Voters have to share their feelings.

Acheni kumchosha mwenyekiti wenu mkifikiri mnamsaidia. Mtamkusanyia vikaratasi vingapi!?

Acheni UNAFIKI.
 
Back
Top Bottom