GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,379
- 108,434
Nashangaa Mno Kwani Kuna Watu Walikuwa Marafiki Zangu Wakubwa Tu Humu JF Tena Wa KUTUKUKA Lakini Nasikitika Kusema Kuwa Tangia Kipindi Cha Michakato Hii Ya Kisiasa Ianze Hasa Ile Ya CCM Na Hadi Iliyokuja Kuwajumuisha " Wapumbavu Na Malofa " ( Wenyewe Wanajitambua ) Sasa Watu Humu Tumegeuka Kuchukiana Hadi Nashindwa Kuelewa.
Jamani Hizi Siasa Kamwe Zisitufanye Tuanze Kuchukiana Na Hizi Vurugu Zote Zitaisha Pale Mshindi Wa Uchaguzi Mkuu Wa Urais Utakapoisha Na Pale Msiyempenda ILA Ambaye Wenye Akili Zao Dr. John Pombe Joseph Magufuli Atakapokuwa Anatawazwa Rasmi Kuwa Rais Wetu Wa Awamu Ya Tano.
Nasema Hivi Kwakuwa Kila Siku Naona Members Humu Mnashindwa Kuvumiliana Na Kuishia Kugombana Kisa Wote Tuna ITIKADI Zetu Mbalimbali Za Kichama Kitu Ambacho Siyo Kizuri Kabisa.
Wito Wangu Mkubw Kwenu Nawaomba Tuache Kuwa Na Hasira Za Kisiasa Na Tuvumiliane Na Badala Yake Tupendane nNa Tudumishe Umoja Wetu Wa Kitanzania Humu JF Na Hata Kama Tukipigana Madongo Humu Mtu Usije Ukayachukulia Serious Mpaka MIMACHO Ikakutoka Kwa Kufura.
Hata Hivyo Nitoe Tu Wito Kwa Wana UKAWA Na Hasa Hasa CHADEMA Kuwa Msihofu Sana Kwani CCM Sasa Tunafikiria Kuwajumuisheni Baadhi Yenu Ktk Serikali Yetu Kwani Tunaamini Kuna Vichwa Vizuri Tu Vya Kuvitumia Huko Kwenu ILA Cha Msingi MTUSAIDIE Tu Watu Wa CCM Kwa Kutupigia Kura Mgombea Wetu Dr. Magufuli Apite Na Mambo Yatakuwa Mazuri Na Wana CHADEMA Na UKAWA Wote Mtafurahi Tu.
Naomba Kuanzia Leo UADUI Na CHUKI Humu Ziwe Mwisho Na Tudumishe UPENDO, AMANI Na URAFIKI. Mimi Naanza Rasmi Sasa Hivi Hivyo Nawaombeni Na Nyie Pia MFUATE ILI Tupite Salama Kipindi Hiki. Kama Hizi PM Zingekuwa Ni Risasi au Mabomu Basi Nina Uhakika Leo Ningeshapotea Hapa Duniani. Na Pia Jifunzeni Kuzoea MATANI Na MADONGO Tunayopena Humu Na TUSIKASIRIKIANE Hivi.
Shikamoo Dr. Magufuli Na Mzee Wangu Lowassa. Amani Itawale Daima Na Milele Nchini Tanzania Hasa Ktk Kipindi Hiki Cha Kampeni Za Kuelekea Uchaguzi Mkuu Wa Madiwani, Ubunge Na Urais. Amen Na Inshaallah!​
Huyu ROHO MTAKATIFU Aliyenitembelea Jioni Hii Naomba Asiache Kunijia Kila Mara Na Kila Siku.