Hivi Uchaguzi Mkuu Tu Ukiisha Watu Humu Tutaishi Vipi? Tusichukiane Kiasi Hiki Jamani Sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
Nashangaa Mno Kwani Kuna Watu Walikuwa Marafiki Zangu Wakubwa Tu Humu JF Tena Wa KUTUKUKA Lakini Nasikitika Kusema Kuwa Tangia Kipindi Cha Michakato Hii Ya Kisiasa Ianze Hasa Ile Ya CCM Na Hadi Iliyokuja Kuwajumuisha " Wapumbavu Na Malofa " ( Wenyewe Wanajitambua ) Sasa Watu Humu Tumegeuka Kuchukiana Hadi Nashindwa Kuelewa.

Jamani Hizi Siasa Kamwe Zisitufanye Tuanze Kuchukiana Na Hizi Vurugu Zote Zitaisha Pale Mshindi Wa Uchaguzi Mkuu Wa Urais Utakapoisha Na Pale Msiyempenda ILA Ambaye Wenye Akili Zao Dr. John Pombe Joseph Magufuli Atakapokuwa Anatawazwa Rasmi Kuwa Rais Wetu Wa Awamu Ya Tano.

Nasema Hivi Kwakuwa Kila Siku Naona Members Humu Mnashindwa Kuvumiliana Na Kuishia Kugombana Kisa Wote Tuna ITIKADI Zetu Mbalimbali Za Kichama Kitu Ambacho Siyo Kizuri Kabisa.

Wito Wangu Mkubw Kwenu Nawaomba Tuache Kuwa Na Hasira Za Kisiasa Na Tuvumiliane Na Badala Yake Tupendane nNa Tudumishe Umoja Wetu Wa Kitanzania Humu JF Na Hata Kama Tukipigana Madongo Humu Mtu Usije Ukayachukulia Serious Mpaka MIMACHO Ikakutoka Kwa Kufura.

Hata Hivyo Nitoe Tu Wito Kwa Wana UKAWA Na Hasa Hasa CHADEMA Kuwa Msihofu Sana Kwani CCM Sasa Tunafikiria Kuwajumuisheni Baadhi Yenu Ktk Serikali Yetu Kwani Tunaamini Kuna Vichwa Vizuri Tu Vya Kuvitumia Huko Kwenu ILA Cha Msingi MTUSAIDIE Tu Watu Wa CCM Kwa Kutupigia Kura Mgombea Wetu Dr. Magufuli Apite Na Mambo Yatakuwa Mazuri Na Wana CHADEMA Na UKAWA Wote Mtafurahi Tu.

Naomba Kuanzia Leo UADUI Na CHUKI Humu Ziwe Mwisho Na Tudumishe UPENDO, AMANI Na URAFIKI. Mimi Naanza Rasmi Sasa Hivi Hivyo Nawaombeni Na Nyie Pia MFUATE ILI Tupite Salama Kipindi Hiki. Kama Hizi PM Zingekuwa Ni Risasi au Mabomu Basi Nina Uhakika Leo Ningeshapotea Hapa Duniani. Na Pia Jifunzeni Kuzoea MATANI Na MADONGO Tunayopena Humu Na TUSIKASIRIKIANE Hivi.

Shikamoo Dr. Magufuli Na Mzee Wangu Lowassa. Amani Itawale Daima Na Milele Nchini Tanzania Hasa Ktk Kipindi Hiki Cha Kampeni Za Kuelekea Uchaguzi Mkuu Wa Madiwani, Ubunge Na Urais. Amen Na Inshaallah!​

Huyu ROHO MTAKATIFU Aliyenitembelea Jioni Hii Naomba Asiache Kunijia Kila Mara Na Kila Siku.
 
GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,108
2,000
Ukimpenda Jambazi ambaye amevamia nyumbani kwangu na kunitia umasikini
Nitakuchukia tu.
 
SIPRITE

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
500
225
Hata iweje huja nisha uri kupigia ccm kura ukawa mwanzo mwisho 6ki kuelewa
 
zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,076
2,000
Binafsi kwa upande wangu mtu yeyote anayeishabikia CCM amekosa sifa ya moja kwa moja ya kuwa na urafiki na mimi.
 
davisoni

JF-Expert Member
May 3, 2014
384
500
je mtoa mada nafsi yako haikusuti kweli au ndo kujitoa ufahamu?ulishaenda kijijin kwako ukaona aina ya maisha wanayoishi? Je ni haki kwa maisha mabovu wanayoishi?? 50 yrs je wameaidiwa mangapi?kuwa na huruma japo kidogo.usiridhike ns vi ahadi vya kuku eti utanyonya kesho.
 
ngwilla

Member
Aug 12, 2013
82
95
Pengine ukawa unaweza kupata asilimia 35 ya kura, ingawa historia ya matokeo ya uchaguz mkuu inaonyesha mrema ndiye mpinzani pekee aliewahi pata kura nyingi, asilmia 27 mwaka 1995, maagizo ya sasa eti asubuhi ikulu au kura zitatangazwa na e.l ni uongo wa wazi na wanajua fika kuwa nchi inaheshimu katiba.
 
fundi25

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
8,076
2,000
​ccm ingekuwa ni mwili wa binaadamu tungesha sema figo na ini vimekufa hakuna matumaini ya kupona tena!
 
Werrason

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
12,335
2,000
Nashangaa Mno Kwani Kuna Watu Walikuwa Marafiki Zangu Wakubwa Tu Humu JF Tena Wa KUTUKUKA Lakini Nasikitika Kusema Kuwa Tangia Kipindi Cha Michakato Hii Ya Kisiasa Ianze Hasa Ile Ya CCM Na Hadi Iliyokuja Kuwajumuisha " Wapumbavu Na Malofa " ( Wenyewe Wanajitambua ) Sasa Watu Humu Tumegeuka Kuchukiana Hadi Nashindwa Kuelewa.

Jamani Hizi Siasa Kamwe Zisitufanye Tuanze Kuchukiana Na Hizi Vurugu Zote Zitaisha Pale Mshindi Wa Uchaguzi Mkuu Wa Urais Utakapoisha Na Pale Msiyempenda ILA Ambaye Wenye Akili Zao Dr. John Pombe Joseph Magufuli Atakapokuwa Anatawazwa Rasmi Kuwa Rais Wetu Wa Awamu Ya Tano.

Nasema Hivi Kwakuwa Kila Siku Naona Members Humu Mnashindwa Kuvumiliana Na Kuishia Kugombana Kisa Wote Tuna ITIKADI Zetu Mbalimbali Za Kichama Kitu Ambacho Siyo Kizuri Kabisa.

Wito Wangu Mkubw Kwenu Nawaomba Tuache Kuwa Na Hasira Za Kisiasa Na Tuvumiliane Na Badala Yake Tupendane nNa Tudumishe Umoja Wetu Wa Kitanzania Humu JF Na Hata Kama Tukipigana Madongo Humu Mtu Usije Ukayachukulia Serious Mpaka MIMACHO Ikakutoka Kwa Kufura.

Hata Hivyo Nitoe Tu Wito Kwa Wana UKAWA Na Hasa Hasa CHADEMA Kuwa Msihofu Sana Kwani CCM Sasa Tunafikiria Kuwajumuisheni Baadhi Yenu Ktk Serikali Yetu Kwani Tunaamini Kuna Vichwa Vizuri Tu Vya Kuvitumia Huko Kwenu ILA Cha Msingi MTUSAIDIE Tu Watu Wa CCM Kwa Kutupigia Kura Mgombea Wetu Dr. Magufuli Apite Na Mambo Yatakuwa Mazuri Na Wana CHADEMA Na UKAWA Wote Mtafurahi Tu.

Naomba Kuanzia Leo UADUI Na CHUKI Humu Ziwe Mwisho Na Tudumishe UPENDO, AMANI Na URAFIKI. Mimi Naanza Rasmi Sasa Hivi Hivyo Nawaombeni Na Nyie Pia MFUATE ILI Tupite Salama Kipindi Hiki. Kama Hizi PM Zingekuwa Ni Risasi au Mabomu Basi Nina Uhakika Leo Ningeshapotea Hapa Duniani. Na Pia Jifunzeni Kuzoea MATANI Na MADONGO Tunayopena Humu Na TUSIKASIRIKIANE Hivi.

Shikamoo Dr. Magufuli Na Mzee Wangu Lowassa. Amani Itawale Daima Na Milele Nchini Tanzania Hasa Ktk Kipindi Hiki Cha Kampeni Za Kuelekea Uchaguzi Mkuu Wa Madiwani, Ubunge Na Urais. Amen Na Inshaallah!​

Huyu ROHO MTAKATIFU Aliyenitembelea Jioni Hii Naomba Asiache Kunijia Kila Mara Na Kila Siku.
Mkuu nikiri kabisa kuwa wewe ni mmoja wa members ambao hawana uvumilivu, na hausimami usemacho! Kwa mfano hapa kichwa cha habari unaonyesha kabisa kutaka amani/undugu/urafiki wa members after election

Lakini ukisoma unakuta sehemu unarusha .... upande mwingine na kuanza kusifu upande wako!

Halafu jingine, mtu akikupinga mbona wewe ndio huja na matusi na kumshambulia?

Unakumbuka ulikujaga na hoja kuwa iwe isiwe, tutake tusitake Prof. Muhongo ndio Rais ajae! Waliokupinga ndio mashahidi. Yako wapi???

Najua utakuja na majibu ya kejeli, ila huo ndio ukweli....

Adios
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
5,223
2,000
Wewe shida yako Gentamycine unatakaga kulazimishia vitu! Usiwe na hofu tutarudi tu kwenye msitari baada ya hiyo 25 October asubuhi na mapema, maana sisi UKAWA ushindi wetu ni asubuhi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom