MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Tunajua kua 90% ya wabunge wa CCM walipita kwenye kura za maoni kwa kuhonga wanachama Rushwa, ni kipindi ambacha wenyeviti wa CCM ngazi zote hadi mitaa hutajirika kutokana na kutrmbea na majina ya watu mifukoni, hua ni msimu wa mavuno KWA.
Leo Pole pole anasema kua hakuna atakayepenyesha rushwa kuhonga wanachama? Inawezekanaje kwa CCM ambayo imeishi katika misingi hiyo? Nimbiwe tu jambo hilo linawezekanaje?
Madudu tataanza kuyaona kesho kutwa kwenye chaguzi tu hizi za ndani ya chama, kuna watu watatoboana macho hapo endapo pole pole CCM kweli watasimamia wanachopigia kelele.
Tunajua hata advantage aliyoipata dereva wetu wa sasa kutokana na rushwa kuzidiana nguvu kwenye kura za maoni CCM 2015, Leo Uchaguzi ufanyike CCM bila rushwa? Likifanikiwa hili ndio nitaamini kua CCM ya sasa imezaliwa upya japo najua haliwezekani.
Hivi kama CCM wanamaanisha kweli watu kama kina Lusinde, Msukuma na Mwakyembe watapitaje? Watafanikisha vipi nafasi zao za Ubunge?