Hivi Uchaguzi bila rushwa kwa CCM unawezekanaje?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,039
2,000
Tunajua kua 90% ya wabunge wa CCM walipita kwenye kura za maoni kwa kuhonga wanachama Rushwa, ni kipindi ambacha wenyeviti wa CCM ngazi zote hadi mitaa hutajirika kutokana na kutrmbea na majina ya watu mifukoni, hua ni msimu wa mavuno KWA.

Leo Pole pole anasema kua hakuna atakayepenyesha rushwa kuhonga wanachama? Inawezekanaje kwa CCM ambayo imeishi katika misingi hiyo? Nimbiwe tu jambo hilo linawezekanaje?

Madudu tataanza kuyaona kesho kutwa kwenye chaguzi tu hizi za ndani ya chama, kuna watu watatoboana macho hapo endapo pole pole CCM kweli watasimamia wanachopigia kelele.

Tunajua hata advantage aliyoipata dereva wetu wa sasa kutokana na rushwa kuzidiana nguvu kwenye kura za maoni CCM 2015, Leo Uchaguzi ufanyike CCM bila rushwa? Likifanikiwa hili ndio nitaamini kua CCM ya sasa imezaliwa upya japo najua haliwezekani.

Hivi kama CCM wanamaanisha kweli watu kama kina Lusinde, Msukuma na Mwakyembe watapitaje? Watafanikisha vipi nafasi zao za Ubunge?
 
Africa Tanzania

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,218
2,000
Kuna vitu vingine ni kazi kuvizuia! Wewe unalipwa mil moja kwa mwezi, mie nakupa kwa siku moja ni ngumu sana kukataa..... Kila mtu anaangalia familia yake.... Kutetea mtu usiyemjua kirahisi ni kazi Sana
 
HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
2,886
2,000
Tunajua kua 90% ya wabunge wa CCM walipita kwenye kura za maoni kwa kuhonga wanachama Rushwa, ni kipindi ambacha wenyeviti wa CCM ngazi zote hadi mitaa hutajirika kutokana na kutrmbea na majina ya watu mifukoni, hua ni msimu wa mavuno KWA.

Leo Pole pole anasema kua hakuna atakayepenyesha rushwa kuhonga wanachama? Inawezekanaje kwa CCM ambayo imeishi katika misingi hiyo? Nimbiwe tu jambo hilo linawezekanaje?

Madudu tataanza kuyaona kesho kutwa kwenye chaguzi tu hizi za ndani ya chama, kuna watu watatoboana macho hapo endapo pole pole CCM kweli watasimamia wanachopigia kelele.

Tunajua hata advantage aliyoipata dereva wetu wa sasa kutokana na rushwa kuzidiana nguvu kwenye kura za maoni CCM 2015, Leo Uchaguzi ufanyike CCM bila rushwa? Likifanikiwa hili ndio nitaamini kua CCM ya sasa imezaliwa upya japo najua haliwezekani.

Hivi kama CCM wanamaanisha kweli watu kama kina Lusinde, Msukuma na Mwakyembe watapitaje? Watafanikisha vipi nafasi zao za Ubunge?
Yule mgombea wenu wa urais 2015 alipatakana kwa maombi? Au ndio umekazana kuchungulia nyumba ya jirani wakatia kwako ni majivu?
 
South

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
3,483
2,000
Zile mill 10 walizohonga wabunge wao daktari hataki hata kuziongelea
 
Cannibal OX

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
2,718
2,000
Wapigakura wanapenda na wanapokea Rushwa kama sehemu ya maendeleo wanayostahili kupata kutoka kwa Wagombea.
Wagombea wanatoa Rushwa kwa Wapigakura ikiwa ni utekelezaji wa ahadi kwa wananchi husika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom