Hivi Ubikira Unakoma Wakati Gani?

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
0
Wakuu,
Ninavyofahamu mimi mwanamke anazaliwa bikira, akikua akaolewa na au kufanya mapenzi basi ubikira huwa umekwisha pale.
Lakini mbona Mary mama yake Jesus bado tunamuita bikira wakati aliolewa na kuzaa watoto na mumewake Joseph (achilia mbali Yesu ).
Naomba mawazo yenu yasiyo yakishabiki wa kidini, hili swala linanitatiza kidogo
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,209
2,000
attachment.php
 

Nightangale

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
265
170
maisha ya ubikira ni maisha ya usafi (chastity).
Kwa upande wa imani yangu maandiko yameeleza maisha ya ubikira (usafi) kabla na baada ya ndoa.
Kabla ya ndoa hakuna aliyeruhusiwa kukutana kimwili mpaka afunge ndoa (pagumu sana hapa).
Lakini maisha haya ya ubikira yanapaswa kwendelea hata mnapofunga ndoa. Kuwa mwaminifu kwa mwenzi wako wa ndoa. (it is also considered to be chastity in the teachings of my faith)
 

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,819
2,000
Uncle kama unataka ufahamishwe, please put it in proper words. However, mixing religion and your dirty thinking doens't work.
 

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,319
2,000
mambo mengine yanataka imani, kama hauna hiyo imani YOU WILL NEVER UNDERSTAND. Why do you have two legs and not three? If you answer this question properly then you will find an answer for your query.
 

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,546
1,500
Wakuu,
Ninavyofahamu mimi mwanamke anazaliwa bikira, akikua akaolewa na au kufanya mapenzi basi ubikira huwa umekwisha pale.
Lakini mbona Mary mama yake Jesus bado tunamuita bikira wakati aliolewa na kuzaa watoto na mumewake Joseph (achilia mbali Yesu ).
Naomba mawazo yenu yasiyo yakishabiki wa kidini, hili swala linanitatiza kidogo

ok we ulitaka aitwe nani?
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,528
2,000
nabii josefu yusufu hakuwahi kumuoa au kuwa na mahusiano na bikira maria?naomba kujua
 

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,638
1,250
Wakuu,
Ninavyofahamu mimi mwanamke anazaliwa bikira, akikua akaolewa na au kufanya mapenzi basi ubikira huwa umekwisha pale.
Lakini mbona Mary mama yake Jesus bado tunamuita bikira wakati aliolewa na kuzaa watoto na mumewake Joseph (achilia mbali Yesu ).
Naomba mawazo yenu yasiyo yakishabiki wa kidini, hili swala linanitatiza kidogo

Suhala la Maryam kuendelea kuitwa Bikira Maria ni la kiimani zaidi, na haswa kwa waumini wa Kikatoliki na Orthodox, wao wanasema kuwa Mary - "ever-virgin" Hii ni kwa sababu Maryam alizaa mtoto wake wa kwanza kabla ya kukutana kimwili na mumewe Joseph.

Japokuwa kwenye agano jipya, Maryam Mama yake na Nabii Yesu, imeandikwa kuwa alikuwa na watoto wengine zaidi (Wakiume na wa kike). Ukisoma Injili kama ilivyo andikwa na Mathayo 13:55-56
Utakutana na maneno haya:
"...Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze si Yakobo, na Yusufu, na Simoni, na Yuda?
Na maumbu yake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote?"

Vile vile kwenye Injili kama ilivyo andikwa na Marko, imeandikwa hivi:
Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni?
Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
(Umbu ni dada)
Marko 6:03

Wakatoliki wanapinga suhala hili kwa nguvu zote nao wanatumia mistari kutoka Mathayo 27:56, ambayo inasema hivi:
Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.

Vile vile wana-quote mstari kutoka Marko 15:40, ambao unasema hivi:
Palikuwako na wanawake wakitazama kwa mbali; miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo mdogo na Yose, na Salome;

Wanachambua mistari hii kwa kusema kuwa hao watoto ni wa Maryam mwingine na si mama yake na Nabii Yesu. Inasemekana huyo Maryam mwingie ni Binamu yake na Bikira Maria au Wifi yake, yaani dada yake na Joseph.

Vile vile wanawa-quote mababa wakubwa kabisa wa kanisa, wa enzi hizo kina Clement wa Alexandria, Origen, na Mtakatifu Jerome, kuwa waliamini kuwa Mary was ever-virgin. Vile vile wanasema kuwa hata wakubwa wa KiProtestants kama Luther, Calvin, Zwingli, na John Wesley, Wanakubaliana na dhana ya Ubikira wa Maryam mpaka kifo chake, na mwisho kupaa mbinguni kuungana na Mwanaye Yesu Kristo.

Ukisoma Catechism of the Catholic Church, Ukurasa wa 112, saifa ya 499 imeandikwa hivi:

Mary -- "ever-virgin"

499 The deepening of faith in the virginal motherhood led the Church to confess Mary's real and perpetual virginity even in the act of giving birth to the Son of God made man.154 In fact, Christ's birth "did not diminish his mother's virginal integrity but sanctified it."155 And so the liturgy of the Church celebrates Mary as Aeiparthenos, the "Ever-virgin".156
p.112
 

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,154
2,000
najua hii ni sehemu ya MMU..
lakini topic nyingine si za kuletwa hapa....
mambo memgie ni ya heshma sana kuletwa sehemu kama hiii....
 

hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,591
2,000
nabii josefu yusufu hakuwahi kumuoa au kuwa na mahusiano na bikira maria?naomba kujua

WALIKUWA NA UHUSIANO NA NDO MAANA YESU ALIKUWA NA KAKA ZAKE...........

Matthew 13:55

"Is not this the carpenter's son? is not his mother called Mary? and his brethren, James, and Joses, and Simon, and Judas?"
 

SUZANE

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
740
225
toka lini umeanza kukosoa watu wa Mungu, haya mambo ni bora uyaache kama yalivyo, acha kabisa usije ukapwigwa kwa laana bure.
 

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,325
2,000
wakuu,
ninavyofahamu mimi mwanamke anazaliwa bikira, akikua akaolewa na au kufanya mapenzi basi ubikira huwa umekwisha pale.
Lakini mbona mary mama yake jesus bado tunamuita bikira wakati aliolewa na kuzaa watoto na mumewake joseph (achilia mbali yesu ).
Naomba mawazo yenu yasiyo yakishabiki wa kidini, hili swala linanitatiza kidogo

hii ni sawa na ku-createsize dini ya mwenzako!
Mambo kama haya yana jadiliwa (tena sio upuuzi kama unavoanzisha hapa) kwenye jukwaa linaitwa "dini/religion"

watu wengine na dini zenu mkiguswa tu mnakuwa wakali kama nini vile,pambafu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom