kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,109
Nimekaa na kujiuliza tu,
Hivi hawa Twaweza na utafiti wao 'uchwara' mbona hawaji nyakati kama hizi kuuliza laiti kama uchaguzi wa 2020 Ukiwa Leo nafasi ya chama cha mapinduzi kuendelea kushika dola ni asilimia ngapi? Au wanasubiri uchaguzi ukaribie ili waweke maandalizi ya bao la mkono na tafiti zao zenye matokeo ya kupikwa.
Kwa hali ilivyo kwa sasa ukiuliza watanzanzania wanaridhika kiasi gani na utendaji wa serikali iliyo madarakani nina uhakika kwa asilimia zaidi ya 80 watakujibu hawaridhishwi na utendaji wa serikali ya awamu ya 5!
Sababu ni nyingi.
1.Kudorola kwa uchumi.
2.Serikali kusitisha ajira.
3. Makampuni mengi kufungwa ambayo hupelekea watu kuachishwa kazi.
4. Biashara nazo haziendi.
5. Makato makubwa kwa wakopaji HESLB.
6. Matumizi madogo ya serikali ambayo hupelekea pesa kupotea kwenye mzunguko.
7.nk
Twaweza pitisheni tafiti zenu wakati huu kisha muweke mambo hadharani bila ya kuchakachua matokeo.