Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Kitu cha kwanza daktari anachofanya kwa mgonjwa huwa ni kuchukua taarifa za mgonjwa au mtu wake wa karibu ili aweze kujua chanzo cha ugonjwa na ukubwa wa tatizo. Taarifa za uongo zitapelekea daktari kutoa tiba isiyo sahihi.
Kwenye biashara, taarifa sahihi za masoko ni muhimu mno. Uelewa wa ukubwa wa uhitaji, aina ya washindani Kwenye soko, tabia za wateja na mabadiliko ya tabia , n.k ni muhimu sana kwenye ustawi wa biashara.
Tunasema, unapokuwa na mapungufu ya taarifa Kwenye jambo lolote katika masoko , basi upungufu huo utajitokeza kama 'cost item' kwenye P & L accounts.
Taarifa sahihi ni muhimu sana.
Tena sana zaidi inapokuja Kwenye suala la kuendesha nchi.
Kinadharia, rais ni mamlaka inayopaswa kuheshimika katika utoaji wa taarifa. Yaani unaweza kuandika paper na ukam'quote' rais yeyote kama ameongelea jambo linalohusiana na paper uliyoandika.
Kwanini?
Kwasababu rais ana vyanzo vingi vya taarifa labda kuliko mtu yeyote. Hii inachangia sana kufanya taarifa zake ziwe credible.
Inakuwaje rais anapodanganya?
Uongo huo unakuwa sehemu ya taarifa ambazo zinafanyiwa kazi na taasisi zilizo chini ya rais.
Hapo utapata matokeo chanya kweli?
Halafu siku hizi kuna watu wa ajabu kweli!
Watu kama kina Jerry Muro na baadhi ya UVCCM.
Inatoka hoja kuwa rais anasema uongo na mtu anajibu, 'Muacheni rais achape kazi '.
Logically unategemea mtu aijibu hiyo hoja kwa kusema kilochoongelewa sio uongo na kutoa counter facts.
Badala yake mtu anajikita kwenye udaku.
Eti sijui wake zako hivi, mara 'demu' wako vile .... wehu kwakweli.
Huu muda wa kutafuta taarifa za udaku kwanini Muro asiutumie kutafuta taarifa sahihi?
The president should be the most credible source of information na ni vizuri kama ikibaki hivyo.
Unaapply contractionary policy kwenye uchumi, logically, uchumi utasinyaa. Eee , si unataka usinyae?
Kwaivyo uchumi ukisinyaa, waambie watu ,'jamee, uchumi umesinyaa Kwasababu tunataka usinyae kwa muda'.
Jamani, mnatusomesha ili tuwe na akili. Kwaivyo mkiongea na sisi, ongeeni mkijua mnaongea na watu walioelimika.
Mzungu anasema 50% economic benefits, ikijumuisha 16% of shares, tax na hicho kishika uchumba.
Wewe unatuambia 50% profit,16% of shares na kodi juu!
Mnatudanganya ili iweje?