Hivi tutajengaje juu ya uongo? Watu wanasifiaje uongo?

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,239
9,527
Kitu cha kwanza daktari anachofanya kwa mgonjwa huwa ni kuchukua taarifa za mgonjwa au mtu wake wa karibu ili aweze kujua chanzo cha ugonjwa na ukubwa wa tatizo. Taarifa za uongo zitapelekea daktari kutoa tiba isiyo sahihi.

Kwenye biashara, taarifa sahihi za masoko ni muhimu mno. Uelewa wa ukubwa wa uhitaji, aina ya washindani Kwenye soko, tabia za wateja na mabadiliko ya tabia , n.k ni muhimu sana kwenye ustawi wa biashara.
Tunasema, unapokuwa na mapungufu ya taarifa Kwenye jambo lolote katika masoko , basi upungufu huo utajitokeza kama 'cost item' kwenye P & L accounts.

Taarifa sahihi ni muhimu sana.
Tena sana zaidi inapokuja Kwenye suala la kuendesha nchi.
Kinadharia, rais ni mamlaka inayopaswa kuheshimika katika utoaji wa taarifa. Yaani unaweza kuandika paper na ukam'quote' rais yeyote kama ameongelea jambo linalohusiana na paper uliyoandika.
Kwanini?
Kwasababu rais ana vyanzo vingi vya taarifa labda kuliko mtu yeyote. Hii inachangia sana kufanya taarifa zake ziwe credible.

Inakuwaje rais anapodanganya?
Uongo huo unakuwa sehemu ya taarifa ambazo zinafanyiwa kazi na taasisi zilizo chini ya rais.
Hapo utapata matokeo chanya kweli?

Halafu siku hizi kuna watu wa ajabu kweli!
Watu kama kina Jerry Muro na baadhi ya UVCCM.
Inatoka hoja kuwa rais anasema uongo na mtu anajibu, 'Muacheni rais achape kazi '.
Logically unategemea mtu aijibu hiyo hoja kwa kusema kilochoongelewa sio uongo na kutoa counter facts.
Badala yake mtu anajikita kwenye udaku.
Eti sijui wake zako hivi, mara 'demu' wako vile .... wehu kwakweli.
Huu muda wa kutafuta taarifa za udaku kwanini Muro asiutumie kutafuta taarifa sahihi?

The president should be the most credible source of information na ni vizuri kama ikibaki hivyo.

Unaapply contractionary policy kwenye uchumi, logically, uchumi utasinyaa. Eee , si unataka usinyae?
Kwaivyo uchumi ukisinyaa, waambie watu ,'jamee, uchumi umesinyaa Kwasababu tunataka usinyae kwa muda'.
Jamani, mnatusomesha ili tuwe na akili. Kwaivyo mkiongea na sisi, ongeeni mkijua mnaongea na watu walioelimika.

Mzungu anasema 50% economic benefits, ikijumuisha 16% of shares, tax na hicho kishika uchumba.
Wewe unatuambia 50% profit,16% of shares na kodi juu!
Mnatudanganya ili iweje?
 
Paul Alex kweli hujaelimika kabisa halafu kweli ndiyo tukutegemee nchi hii kuibadili kwa kutudanganya kuwa Rais anaongea uwongo?

Usomi wenu huo wa kuwadanganya wanainchi ili mradi tu ufanikishe malengo hakukubaliki.

Rudi tena darasani ukasome upya ufahamu kuhusu hesabu na uchumi.
 
Mbona naona wewe ndiye hujaelimika??

Rais alisema hostel za udsm zimejengwa kwa ten bil kumbe zimejengwa kwa 45bil sasa kama huo sio uongo ni nin??

Alisema atatoa ajira 50000+ mpaka leo haeleweki je kama sio uongo ni nin??
 
Hebu niambie nilichodanganya mimi jamee
 
Mbona naona wewe ndiye hujaelimika??

Rais alisema hostel za udsm zimejengwa kwa ten bil kumbe zimejengwa kwa 45bil sasa kama huo sio uongo ni nin??

Alisema atatoa ajira 50000+ mpaka leo haeleweki je kama sio uongo ni nin??
Wewe ndiyo hujaelimika... Hujui 10Bil ni za nini na 45 Bil ni za nini.Soma taarifa vizuri uzielewe.

Ajira 52,000 zipo na Rais Magufuli hajamaliza muda wake.
 
Paul Alex kweli hujaelimika kabisa halafu kweli ndiyo tukutegemee nchi hii kuibadili kwa kutudanganya kuwa Rais anaongea uwongo?

Usomi wenu huo wa kuwadanganya wanainchi ili mradi tu ufanikishe malengo hakukubaliki.

Rudi tena darasani ukasome upya ufahamu kuhusu hesabu na uchumi.
Tramodel sijui acheni ujinga uongo utakusaidia nini? Mabweni twambie yamejengwa kwa sh ngapi, CAG ameandika uongo? Unasema uongo upate nini? Je nyumba ya TRA huko kwa mzee imejengwa kwa gharama kuliko bweni la hapa.
Sasa kila kitu basi ni utapeli tu. Hata hizo ndege zitakuwa na shida kubwa ama bei ziko juu au tumeibiwa, hata nymbn baba uki muongo watoto wanakujadili na wanamwambia mtu mzima anaye kumudu ana kwambia na mstaarabu huacha.
Kufichuliwa uongo ni sawa na kudondosha taulo mbele ya mama mkwe wewe usivyo na akili unaendelea kusifia baba kukimbia badala ya kuchutama. Huko ni kumtakia mabaya baba yako unafikiri ni heshima kuonyesha siri ya mama yako hadharani mbele ya bibi yako nawewe MUNGU akulaani sham on you.
Hata kama humpendi mkuu wetu tumuombee abadilike na awe anaangalia kusema kwake.
 
Kama serikali haikudanganya, iseme hilo na itoe sababu zilizojikita katika data na logical arguments ambazo hazipo kwenye ad hominem attacks and political expediency.

Hatujaona hilo.

Na kimantiki, ukipewa tuhuma nzito ukakaa kimya bila kuzijibu, umezikubali.

Walatini walisema "qui tacet consentire videtur"

Silence implies consent.
 
Tramodel sijui acheni ujinga uongo utakusaidia nini? Mabweni twambie yamejengwa kwa sh ngapi, CAG ameandika uongo? Unasema uongo upate nini? Je nyumba ya TRA huko kwa mzee imejengwa kwa gharama kuliko bweni la hapa.
Sasa kila kitu basi ni utapeli tu. Hata hizo ndege zitakuwa na shida kubwa ama bei ziko juu au tumeibiwa, hata nymbn baba uki muongo watoto wanakujadili na wanamwambia mtu mzima anaye kumudu ana kwambia na mstaarabu huacha.
Kufichuliwa uongo ni sawa na kudondosha taulo mbele ya mama mkwe wewe usivyo na akili unaendelea kusifia baba kukimbia badala ya kuchutama. Huko ni kumtakia mabaya baba yako unafikiri ni heshima kuonyesha siri ya mama yako hadharani mbele ya bibi yako nawewe MUNGU akulaani sham on you.
Hata kama humpendi mkuu wetu tumuombee abadilike na awe anaangalia kusema kwake.
Tatizo lenu mnaingilia kazi ambazo siyo zenu. Wewe hesabu za Serikali zinakuhusu nini mpaka unakuja kutuletea hesabu zako wakati siyo kazi yako. Usiwadanganye wanainchi na hesabu zako za kutengeneza kwa kazi ya watu wengine.

Waacheni wenye kazi zao watoe taarifa kwa kazi zao na wewe toa taarifa kwa kazi yako unayofanya.

Kila mtu afanye kazi yake. Unaanza kutupilia hesabu za ndege za jeshi unazijua wewe?

Watanzania tuna shida sana tunapenda kuonekana tunajua sana mambo ya watu wengine wakati hatujui na hayatuhusu.

Maji atajua biashara zake na hesabu, Baharesa atajua kampuni yake vizuri, MO Dewji atajua biashara zake. Na Serikali itajua mambo yake na Taasisi zake kiundani kuliko wewe ndugu.
 
Wewe ndiyo hujaelimika... Hujui 10Bil ni za nini na 45 Bil ni za nini.Soma taarifa vizuri uzielewe.

Ajira 52,000 zipo na Rais Magufuli hajamaliza muda wake.
Mpumbavu wewe!

Kwanini aseme ni bil 10 wakati ni bil 45??

Kwa hiyo hizo ajira mpaka amalize muda wake? Una kichaa??
 
Paul Alex kweli hujaelimika kabisa halafu kweli ndiyo tukutegemee nchi hii kuibadili kwa kutudanganya kuwa Rais anaongea uwongo?

Usomi wenu huo wa kuwadanganya wanainchi ili mradi tu ufanikishe malengo hakukubaliki.

Rudi tena darasani ukasome upya ufahamu kuhusu hesabu na uchumi.
Mjibu kadanganya vipi acha mipasho na wewe ni walewale a small version ya Jerry Muro get lost sycophant!
 
Tatizo lenu mnaingilia kazi ambazo siyo zenu. Wewe hesabu za Serikali zinakuhusu nini mpaka unakuja kutuletea hesabu zako wakati siyo kazi yako. Usiwadanganye wanainchi na hesabu zako za kutengeneza kwa kazi ya watu wengine.

Waacheni wenye kazi zao watoe taarifa kwa kazi zao na wewe toa taarifa kwa kazi yako unayofanya.

Kila mtu afanye kazi yake. Unaanza kutupilia hesabu za ndege za jeshi unazijua wewe?

Watanzania tuna shida sana tunapenda kuonekana tunajua sana mambo ya watu wengine wakati hatujui na hayatuhusu.

Maji atajua biashara zake na hesabu, Baharesa atajua kampuni yake vizuri, MO Dewji atajua biashara zake. Na Serikali itajua mambo yake na Taasisi zake kiundani kuliko wewe ndugu.
Unahitaji MRI scan ! Hujui kuwa Serikali inakujumlisha hata wewe!
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom