Hivi Tundu Lissu ni shoto? Kama kweli basi wabaya wake wajipange hasa!

unafurahia mkono wa kutawadhia mavi.ww pwagu kweli
Hatuishi kwa imani ila kwa neema. Wewe kama zama hizi za Science and Technology bado unaishi kwa kutegemea "Superstition" then upo dunia hii kimakosa sana.

Mkono ni mkono tu na kama unaona huo wa kushoto ni subordinate kwa ule wa kulia basi ukate ubaki na huo unaouona wa maana, kama una hiyo jeuri.
 
Katika mahojiano aliyofanya katika Radio moja huko Marekani, Tundu Lissu anaonekana kuandika notes kwa kutumia mkono wa kushoto. Sijui ni kwa sababu ya majeraha ya mkono wa kulia au ni kwamba ndiyo mkono wake kawaida wa kuandikia.

Kama ni mtumiaji wa mkono wa kushoto basi wabaya wake wajipange hasa, hawa jamaa nasikiaga kichwani si mchezo!

Nilivyoona tu nikajisemea sasa hii inamake sense kwa nini mtu mmoja anapelekesha watu na heshima zao.
Akihamia tu ccm bx hzo rangu mnampaka mtamfuta kama ambavyo mliweza kumpaka mavi lowa.sa na mkamfuta kwa sekunde tu kumfukiza manukato yote ya ufipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom