Hivi Tundu Lissu anajifanya anajua au anajua kweli?

Wewe mataga wewe mataga Acha vituko aisee
Hivi wewe una elimu Gani ya kumzidi Lissu Acha kutia huruma hapa kiufupi hata
Mzee #Mohamed Said kawazidi Kwa kujua historia ya Tanganyika kuliko Chief wenu hangaya Kama unabisha tuweke mdahalo wa uchambuzi kati ya huyo Mzee na mataga wote Nchi nzima atawapiga mbali Sana na hapo yeye kasimuliwa tu na Babu zake
Haya akileta na aliyosoma si mtakimbia nyinyi
Kubarini aliye pewa kapewa tu!
Lisu ndio kawazidi akili chadema wote!

Sasa ujinga wenu msitake kutuweka wote kwenye kapu moja!
 
Atawazuga wajinga TL ni lofa tu. Wacha mashoga wamzalishe.
alisikika mwerevu Mmoja kutoka sebuleni Kwa shemeji yake huko kashika rimoti akiangalia tamthilia ya kihindi Gangaa
Daaaa MATAGA bwana Wana vituko!
Hebu hama hapo Kwa shemeji Yako utakuja pelekewa moto Kama dadaako TAGA!
😂😂😂😂
 
Jana nilipotea njia nikajikuta nimengia chumba kimoja cha Club house.

Nikasikia sauti ya Lisu, nikasema acha nitulie kidogo nisikie kinachosemwa.
Mjadala ulihusu legacy ya JK. Nyerere, kusema kweli niliyosakia kule sijawahi kuyasikia wala kuyasoma mahali popote. Huyu TL anajua kila kitu, hakuna swali linalomshinda kujibu. Anaeleza historia ya nchi mpaka unabaki mdomo wazi.

Hapana huyu mtu amenishangaza sana.
Vipi ile kauli yake "Mwalimu alizowea vya kunyonga" 🤣 mzee wa tutashtakiwa MIGA kituko cha karne.
 
Jana nilipotea njia nikajikuta nimengia chumba kimoja cha Club house.

Nikasikia sauti ya Lisu, nikasema acha nitulie kidogo nisikie kinachosemwa.
Mjadala ulihusu legacy ya JK. Nyerere, kusema kweli niliyosakia kule sijawahi kuyasikia wala kuyasoma mahali popote. Huyu TL anajua kila kitu, hakuna swali linalomshinda kujibu. Anaeleza historia ya nchi mpaka unabaki mdomo wazi.

Hapana huyu mtu amenishangaza sana.
Ngoja wazee wa legacy a.k.a MATAGA waje 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom