Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Hivi kwa akili za kawaida wadau hali ya mkwamo
Wa kisiasa Zanzibar una
hitaji kutatuliwa kweli kwa
Kuitishwa uchaguzi upya?
Ikiwa hali hii ya sasa imesa
bishwa na uchaguzi uliopita
na waliosimamia na kusabi
Sha matatizo hayo ndo hao
wanaitisha tena uchaguzi
je hawaoni hatari inayokuja?
Hivi MTU amekiri kushindwa
kufanya kazi aliyopewa na
badala ya kuwajibishwa ana
pewa kazi ileile aliyoshindwa.
Kama tatizo ni watendaji
kwa nini wasiondolewe
ili tujue tumerekebisha
tatizo na sasa tunayo
tume inayo aminika?
Ni afadhali Jecha aondoke
ila nchi ibaki Salama.
Wa kisiasa Zanzibar una
hitaji kutatuliwa kweli kwa
Kuitishwa uchaguzi upya?
Ikiwa hali hii ya sasa imesa
bishwa na uchaguzi uliopita
na waliosimamia na kusabi
Sha matatizo hayo ndo hao
wanaitisha tena uchaguzi
je hawaoni hatari inayokuja?
Hivi MTU amekiri kushindwa
kufanya kazi aliyopewa na
badala ya kuwajibishwa ana
pewa kazi ileile aliyoshindwa.
Kama tatizo ni watendaji
kwa nini wasiondolewe
ili tujue tumerekebisha
tatizo na sasa tunayo
tume inayo aminika?
Ni afadhali Jecha aondoke
ila nchi ibaki Salama.