Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,193
- 926
Nimekuwa na Mimi natumia sana msemo huu 'jamaa ametoka au ametusua kimaisha', ila kiukwel sijajua hasa mtu aliyetoka kimaisha ana sifa gani.
Unaweza kuambiwa fulani katoka, baada ya miaka 3 au 4 amerudisha vyombo nyumbani anaanza kuishi na wazazi.
Unaweza kuambia msanii fulani katoka kimuziki baada ya miaka 2 au 3 unamuona tena kwenye bar za uswazi akiimba hata redioni hasikiki.
Kila mmoja kwa ufahamu wake atuambie mtu gani na mwenye sifa zipi tunapaswa kusema KATOKA.