Hivi tunahitaji Katiba Mpya au Mjadala juu ya Katiba Mpya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi tunahitaji Katiba Mpya au Mjadala juu ya Katiba Mpya?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by ChiefmTz, Dec 28, 2010.

 1. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Wana jf, hivi kwa sasa tunahitaji Katiba mpya kwanza au tunahitaji kufanyika kwa mijadala rasmi juu ya Katiba mpya. Nimeulilza hivi kwa sababu kuna watu wanataka tudai Katiba Mpya bila ya kujali kuwa hakujawahi kuwepo kwa mjadala rasmi juu ya Katiba mpya. Tusipoiona haja ya kufanyika kwa mijadala rasmi juu ya Katiba, watatokea wajanja ambao watapeleka Mswada Bungeni wa kutaka Katiba mpya na ukakubaliwa na ikaundwa Katiba nyingine hata kama ni kwa jina tu. Lakini tukidai mjadala rasmi, sio rahisi kuchezewa shele. Nawasilisha
   
 2. T

  Taso JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Mjadala rasmi maana yake nini
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Tufafanulie juu ya huo "mjadala rasmi" ukoje ili nikujibu swali lako!
   
 4. n

  nyantella JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Labda anataka tujihakikishie contents za katiba mpya zitakua nini ili tusije andika kijarida badala ya Katiba. Maana mawazo na madai ya katiba mpya kwa wakati huu ni kuitoa CCM madarakani. supposed imewezekana than what next? na walioshindwa wadai katiba mpya ya kukiondoa hicho chama kingine madarakani? Katiba iwe futuristic with long lasting ideas!
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa maoni yangu ni wananchi ndio wana final say juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa katiba mpya.kufikia huko ni lazima kuwe na mjadala rasmi utakaohusisha pande mbalimbali.
  Serikali itakapokubali kujadili suala hili ndipo tutakapoita 'mjadala rasmi'
   
 6. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Mjadala ambao utatoa maazimio yatakayotumika kwenye Katiba mpya
   
 7. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Ni kuwepo kwa vikao rasmi katika ngazi mbalix2 kwa ajili ya kujadili Katiba mpya.
   
 8. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jiulize utapataje Katiba mpya bila mjadala? Mchakato lazima uanze na mjadala. Hivyo upatikanaji wa Katiba unamaanisha mjadala ulikuwepo!
   
 9. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Lakini pia itatusaidia kukubaliana mambo ya msingi.
   
 10. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Ahsante Mkuu kwa kutokuwa Kipofu wa kuona ukweli. Jambo la msingi ni kuishinikiza gvt kuandaa na kuruhusu vikao kwa ajili ya kujadili Katiba.
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu... kuna mjadala mwingine tena zaidi ya huu tunaoufanya hapa JF na huko mitaani....... kitakacho fuata ni mchakato wa upataji wa katiba mpya.....
   
 12. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Mjadala tunaofanya sio rasmi na hauna hata muhtasari ambao tunaweza kuutumia kama reference.
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu i agree... but what is more important are the contents and then all of that procedures can follow smooth..... suppose the contents for the need of a new draft constitution are not sufficient and healthier enough to pave way for the drafting a new constitution; we need to brainstorm and not neccessarily formal..... but also we need oral discussions and measure the pro's and con's
   
 14. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  From my understanding I think we need both 2 steps,na tayari moja wananchi wameanza ambayo inangojewa sasa kuwa rasmi kwa kupokelewa na mamlaka then tuendelee
   
Loading...