Hivi tunahisi sifa tunapoambiwa wa Tz aliki zetu ni everage? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi tunahisi sifa tunapoambiwa wa Tz aliki zetu ni everage?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babylon, Oct 30, 2009.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Juzi hapa seif khatib alihojiwa na kusema kuwa yeye hajauonapo waraka wa Mungano alichokiona yeye ni picha za wasisi wakikabidhiana waraka huo, cha kujiuliza leo inakuwaje wazi huyo huyo anawambia wabunge waende wakauangalie huo waraka upo kule katika maktaba ya bunge tokea Februari 11, 2002 sasa waziri huyu anashuhulikia Mungano wa aina gani? ambae hajapatapo kwenda kuona au kusoma huo mkataba mungano anaoushuhulikia huku akijuwa upo makta kwa miaka 7 sasa ?na wakati huo huo anawadanganya watanzania kuwa yeye hajauonapo na kwa manaana hiyo jamaa ni USELESS.

  Date::10/29/2009 Hati ya Muungano Tanganyika,Zanzibar kuwekwa hadharani
  Na Habel Chidawali, Dodoma Â
  SERIKALI imesema mkutano ujao wa bunge itagawa kwa wabunge pamoja na kuweka katika maktaba mbalimbali pamoja na makumbusho Hati ya Muungano kwa kuwa ni haki ya kila mtu kuufahamu mkataba huo.

  Aidha pamoja na kuweka katika maeneo hayo, bado hati hiyo itawekwa katika mtandao maalumu kumuwezesha kila Mtanzania kuiona na kuisoma kwa urahisi.

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mohamed Seif Khatibu aliwaambia wabunge jana kwamba hati ya Muungano ni nyaraka ya umma na kila raia ana uhuru na haki ya kuipata na kuitumia.

  Khatibu alisema hati hiyo ni sehemu ya sheria za Muungano (The Act  of  Union) ya sheria nambari 22 ya mwaka 1964 na kwamba haki hiyo iliridhiwa na kupatikana na katika maktaba ya bunge pamoja na sheria namba 22 ya mwaka 1964.

  Awali Mbunge wa Tumbe Salim Abdallah Khalfan (CUF) alitaka kujua hati ya mkataba wa Muungano “Article of Union” ni waraka muhimu wa historia ya nchi na akahoji ni kwa nini
  waraka huo hauonekani wazi.

  Â Mbunge huyo pia alitaka kujua kujua ni pi nafasi ya kawaida kuweza kuupata na kuutumia waraka huo na kama serikali itakuwa tayari kuusambaza waraka huo kwa baraza la wawakilishi,wabunge pamoja na maeneo ya maktaba za vyuo na makumbusho ya Taifa.

  Hata hivyo Waziri aliwataka wabunge kutumia nafasi hiyo kusoma vitu mbalimbali katika maktaba ya bunge kwa kuwa waraka huo upo tangu Februari 11, 2002 hivyo aliwataka wabunge wanaohitaji kujua waende katika maktaba yao kwa ajili ya kuusoma.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Oct 30, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,564
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Edit title basi mkuu, ili wasije wakaanza ku-confirm bure kumbe ni typing error.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  The problem with Babylon is almost negligible...The thing is that, HE THINKS FASTER THAN HE CAN JOT DOWN!
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kazi inaendelea
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  CCM will never, ever tell the truth.!!!
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,860
  Trophy Points: 280
  That is their "MOTTO"
   
Loading...