ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,557
- 44,747
Kwa mfano mchimba madini anakomaa kila mgodi ili apate madini.atatahama kila mgodi lengo Ni kupata mali.sasa je tunaofanya umalaya unataka kila mwanamke umpitie ili ugundue nini?kwa sababu nachojua Mimi raha Ni ile ile wanawake Ni walewale hawana tofauti tamaa inatoka wapi sasa.mwanaume mmoja unawezaje kuwa na wadada zaidi ya wanne unatafuta Nini Kama sio umaskini,magonjwa,dhambi na mwisho tunakuzika mapema.