Hivi tuna rais mwingine tanzania au ni jk? Mbona hana maamuzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi tuna rais mwingine tanzania au ni jk? Mbona hana maamuzi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tambarare, Mar 5, 2011.

 1. t

  tambarare Senior Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba kuuliza wana jamii hivi huyu rais wetu kweli ana mamlaka kamili ya urais? Kama jibu ni ndio kwa nini anashindwa kuwa na maamuzi? Au watu aliowateua kushika nyadhifa mbalimbali aliwauzia?KAMA NDO HIVI HATUTA FIKA POPOTE
   
Loading...