Hivi trump anaweza kufukuzwa urais kwaajili shutuma za urusi kuingilia uchaguzi?

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,911
Saizi marekani kumekuwa na kelele nyingi sana ambazo haileweki mwisho wake nini.

hii yote ni kwa sababu eti urusi iliingilia uchaguzi wa marekani na wanasema urusi ndio waliofanikisha ushindi wa trump kwa kiasi kikubwa.

ikibainika kama kweli urusi ilifanikisha ushindi wa trump
Je ni nani ambaye atakuwa wa kwanza Kulaumiwa?
na wakati huo watu wanasema marekani ndio nchi ya kwanza duniani inayoongoza kwa usalama na kwa mwaka bajeti yake ya maswala ya usalama ni billion 650$ na wakati urusi huo urusi bajeti ya maswala ya usala ni kama billion 60$ tu kama nitakuwa sikosei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kuna muda natafakari nashindwa kuelewa USA huyu bingwa wa propaganda wa kila kitu kujifanya yuko juu ya wenzake amebaki kubweka tu kama mbwa koko eti mrusi kamdukua kwenye uchaguzi swali linakuja Kama Russia kafanikiwa kumdukua je kikinuka si atadukuliwa mpaka chumbani Kashindwa kumshughulikia KIM JONG UN anawalilia CHINA waongee na dogo aachane na Nyuklia Ili hali wenyewe wanazo
 
Kama unafahamu huyu ni bingwa wa propaganda,nashangaa unataka kuyatilia maanani haya madai.
Huyu anaweza zusha tu kwamba tz kuna wana akili sana na duania ikaelewa hivyo.

Asilimia ya ukweli juu ya hili unaweza chagua kati ya 0%-7%.
 
Saizi marekani kumekuwa na kelele nyingi sana ambazo haileweki mwisho wake nini.

hii yote ni kwa sababu eti urusi iliingilia uchaguzi wa marekani na wanasema urusi ndio waliofanikisha ushindi wa trump kwa kiasi kikubwa.

ikibainika kama kweli urusi ilifanikisha ushindi wa trump
Je ni nani ambaye atakuwa wa kwanza Kulaumiwa?
na wakati huo watu wanasema marekani ndio nchi ya kwanza duniani inayoongoza kwa usalama na kwa mwaka bajeti yake ya maswala ya usalama ni billion 650$ na wakati urusi huo urusi bajeti ya maswala ya usala ni kama billion 60$ tu kama nitakuwa sikosei.

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Kama ni kweli Urusi imefanya hivyo, ni muhimu kuipongeza Urusi kwa kazi nzuri
2. Marikani haina haki kwa vile wao huingilia chaguzi zote duniani wakizingatia nani analinda maslahi yao na siyo ya nchi yenye uchaguzi. mf Venezuela ambayo imekiri

Kwa sasa Amerika hawana ubavu wa kumtoa trump kwa vile akiondoka anaye shika madaraka ni wa hovyo zaidi na hata anayefuatia ni mtu ambaye ni hatari na hafai. Kwa sasa Marikani lazima wavumilie hiyo sindano ya moto ya trump japo wao huona aibu hata kumsemea kuwa ni raisi wao mpaka uchaguzi ujao, system siyo kurudia uchaguzi. Lakini kwa vile siasa ni mchezo mchafu lolote la weza kutokea
 
Back
Top Bottom