Stephen Mwingira
Member
- Dec 14, 2013
- 27
- 12
Hivi Trump amekosea nini kuitambua Jerusalem Kama Mji mkuu wa Isarael !!
Acha kujitoa ufahamu, utakatifu wa Yerusalemu uko wap??? Maandiko unasoma kweli?? Au unashabikia kitu usichofahamu....Nahisi ww utakua Farisayo na sio Mkristo wa kwel.Hakukosea chochote kwasababu ni KWELI kuwa Yerusalem ni mji mkuu wa Israel
Si hivyo tu, ila pia ni Mji Mtakatifu.
Kuna kumbafu anayesema alikosea?
Basi waachieni hao 75% mji wao..!
Kwa mujibu wa sensa waislamu ni wengi Israel kuliko Wakristo, wayahudi sio Wakristo,
Huu mji Wakristo hauwahusu kabisa,
Ni nani aliyekuuliza hilo?
Kwa mujibu wa sensa waislamu ni wengi Israel kuliko Wakristo, wayahudi sio Wakristo,
Huu mji Wakristo hauwahusu kabisa,
Hapo ndipo wanaposhangaza.Naona tumepoteza muelekeo, Trump hakuutambua kua ni mji wawa Kristo... Bali ameutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Wayahudi au wa Israel... Sasa uKristo umeingiaje hapo?
Habari ya Ukristo na Farisayo umeitoa wapi hapa?Acha kujitoa ufahamu, utakatifu wa Yerusalemu uko wap??? Maandiko unasoma kweli?? Au unashabikia kitu usichofahamu....Nahisi ww utakua Farisayo na sio Mkristo wa kwel.
Amepatia sana, Waarabu wanasema watamwekea USA vikwazo vya uchumi. Nikacheka sana. Hicho ndio kilikuwa kichekesho cha kufungia mwakaHivi Trump amekosea nini kuitambua Jerusalem Kama Mji mkuu wa Isarael !!
Sasa umesikia wapi wakristu wakitaka uwe mji wao? Washangae Waislam wanaogombania mji ambao wao wenyewe ni minority
Kwa mujibu wa sensa waislamu ni wengi Israel kuliko Wakristo, wayahudi sio Wakristo,
Huu mji Wakristo hauwahusu kabisa,