Hivi Trump amekosea nini kuitambua Jerusalem Kama Mji mkuu wa Isarael !!

Utaona nakueleza utani, ila kizazi cha Mfalme Suleman na yule Malkia mtoto wao wa kiume ni Menelik I wa Ethiopia. Jiulize mbona siyo mweupe, mzungu kapindua historia. Watu wenye asili ya ngozi nyeusi waliwaua kwenye ule mji, kina Herode ni wavamizi wa Ulaya. Hiyo ni historia inayofichwa dunia isiijue, ndiyo maana hata Yesu alitoroshwa na kufichwa mji wa watu weusi Misri dhidi ya Herode.
We ndo hujui historia yao...ata hvyo wamisri c weuc ni waarabu!! Zionism...Jews wao c waarabu wala wazungu ila race yao ni weupe,
 
d2408e791b0093bb608b9a9da7b753ff.jpg


Kwa mujibu wa sensa waislamu ni wengi Israel kuliko Wakristo, wayahudi sio Wakristo,
Huu mji Wakristo hauwahusu kabisa,
Unasema!!?
 
This people are cousin sijui nyie waafrica mnawashwa nini nendeni mkajenge nchi yenu kwanza charity inaanzia nyumbani sio kwa watu miaka yote hiyo ya uhuru mmeshindwa kuelimisha jamii zenu mnashobokea ya wengine tembeeni vijijini kwenu mkafundishe jamii zenu jinsi ya kuvaa viatu na kutumia vyoo..get out of other peoples life .
Who the fuc are to tell me that?
 
We ndo hujui historia yao...ata hvyo wamisri c weuc ni waarabu!! Zionism...Jews wao c waarabu wala wazungu ila race yao ni weupe,
Hebu wacha ubishi, waarabu wa pale wametokea mashariki ya kati. Si kwao pale, wewe unasimamia maandiko ya kilaghai ya wazungu
 
Back
Top Bottom