Hivi Trump amekosea nini kuitambua Jerusalem Kama Mji mkuu wa Isarael !!

Ushoga na usagaji uliohalalishwa inaipeleka dunia pabaya. Wakristo wa Australia ndani ya bunge wanashangilia ushoga na usagali kuhalalishwa yaani ni vifijo na nderembo hii imekuwa ni shida kabisa waislamu wakipigana kuukemea ushoga na kuuogoba mila na desturi za kimagharibi wanaitwa magaidi. Ni wakati tu waafrika wakiristo wataupokea na kuukubali ushoga kama makanisa yao ya ulaya yalivyoukubali na sasa unaungizwa katika miji mitakatifu na hiyo Jerusalem haiko salama ikiwa Tel Aviv ndio inaitwa pepo au paradise ya mashoga na masagaji na Jerusalem nayo ndio unaenda kwao tene.
 
Basi kumaliza hayo yote Jerusalem liwe ni taifa linalojitegemea,

sijuafuatilia vizuri kujua huko yorusalemu kuna kuna utajiri kiasi gani hadi wapagombanie namna hiyo,
 
Habari ya Ukristo na Farisayo umeitoa wapi hapa?

Katika comment yangu umeona neno Ukristo?

Nawewe pia huelewi au hujafika shuleni kama yule jamaa wenu?
Mbona haujajibu swali unaruka ruka tu? Utakatifu wa Yerusalemu unakujaje??
 
Ushoga na usagaji uliohalalishwa inaipeleka dunia pabaya. Wakristo wa Australia ndani ya bunge wanashangilia ushoga na usagali kuhalalishwa yaani ni vifijo na nderembo hii imekuwa ni shida kabisa waislamu wakipigana kuukemea ushoga na kuuogoba mila na desturi za kimagharibi wanaitwa magaidi. Ni wakati tu waafrika wakiristo wataupokea na kuukubali ushoga kama makanisa yao ya ulaya yalivyoukubali na sasa unaungizwa katika miji mitakatifu na hiyo Jerusalem haiko salama ikiwa Tel Aviv ndio inaitwa pepo au paradise ya mashoga na masagaji na Jerusalem nayo ndio unaenda kwao tene.
Duh.
 
Mbona haujajibu swali unaruka ruka tu? Utakatifu wa Yerusalemu unakujaje??
Suala la utakatifu wa Yerusalem limetoka kwenye thread iliyoelezea hayo.

Wewe umeuleta ukristo wa nini hapa wakati katika comment yangu sijauongelea?

Unawashwawashwa au umevimbiwa na pilau la manjano lenye Amira?
 
Basi kumaliza hayo yote Jerusalem liwe ni taifa linalojitegemea,

sijuafuatilia vizuri kujua huko yorusalemu kuna kuna utajiri kiasi gani hadi wapagombanie namna hiyo,
Karibu kila mahali katika ardhi ya Yerusalem unapochimba basi utakutana na historia kubwa ya kale yenye miaka zaidi ya 3000.

Economically.....Tourism inaboost uchumi wa Israel ILA hapa hakutambua Yesusalem kwa namna hiyo bali KIIMANI na KISIASA kuwa ni Mji mkuu wa Israel na ni mji mtakatifu.
 
Naona tumepoteza muelekeo, Trump hakuutambua kua ni mji wawa Kristo... Bali ameutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Wayahudi au wa Israel... Sasa uKristo umeingiaje hapo?
ndio hapo mkuu hata mimi huwa nashindwa kuwaelewa raia,kwa nini mgogoro wa palestina na israel unapewaga sana sura ya mgogoro wa kidini
 
Hakukosea chochote kwasababu ni KWELI kuwa Yerusalem ni mji mkuu wa Israel

Si hivyo tu, ila pia ni Mji Mtakatifu.

Kuna kumbafu anayesema alikosea?
Pia katekeleza azimio la bunge la congress liliopitishwa 1995
 
JERUSALEM IMEKUWA MJI WA ISRAEL KWA ZAIDI YA MIAKA 3000.HISTORIA NA VITATU VITAKATATIFU VINALIJUA HILO...."Benjamin Netanyahu"
Sasa kama in hivyo kwanini tel Aviv ndo uwe mji mkuu kwa miaka yore hiyo?
 
Suala la utakatifu wa Yerusalem limetoka kwenye thread iliyoelezea hayo.

Wewe umeuleta ukristo wa nini hapa wakati katika comment yangu sijauongelea?

Unawashwawashwa au umevimbiwa na pilau la manjano lenye Amira?
Inaonekana hata unachoshabikia hukijui kuna shetani mtakatifu au kwaninj usisema Dar es Salaam ni mji mtakatifu pia???
 
Inaonekana hata unachoshabikia hukijui kuna shetani mtakatifu au kwaninj usisema Dar es Salaam ni mji mtakatifu pia???
Kwanini niseme Dsm ni mji mtakatifu wakati sio?

Kwanini mnaita Makka na Madina ni miji mitakatifu na sio Mosul au Beghazi?

Na ni kwaninj hujibu maswali ninayokuuliza?
 
d2408e791b0093bb608b9a9da7b753ff.jpg

Kwa mujibu wa sensa waislamu ni wengi Israel kuliko Wakristo, wayahudi sio Wakristo,
Huu mji Wakristo hauwahusu kabisa,
Jews use thr Old Tastement as their Holy Book/Bible, and it emphases about the holiness of Jerusalem; Christians use Old and New Testament as their Holy Book/Bible.

The Old and New Testament both acknowledge the Holiness of Jerusalem, Jesus himself identified Jerusalem as the Holy City. Jesus died, raised and ascended to heaven in Jerusalem.
Jesus ' Apostles had their council in Jerusalem.

Christians every year flock in thousands to Jerusalem and Bethlehem for pilgrimage . Don't you still believe that Jerusalem is more important to Christians than Moslems?

Vv
 
kila mtu akidai kuwa alipotokea ni kwake basi black Americans wanaweza kuclaim baadhi ya nchi za afrika, wangoni wakaclaim ardhi yao ya kale huko south Africa, Aborigines huko Australia wakaclaim Australia yote.
 
Acha kujitoa ufahamu, utakatifu wa Yerusalemu uko wap??? Maandiko unasoma kweli?? Au unashabikia kitu usichofahamu....Nahisi ww utakua Farisayo na sio Mkristo wa kwel.
1 wafalme 8

1 Ndipo Sulemani alipowakusanya wazee wa Israeli, na wakuu wote wa kabila, wakuu wa mbari za mababa wa wana wa Israeli, wamwendee mfalme Sulemani huko Yerusalemu, ili walipandishe sanduku la agano la BWANA kutoka mji wa Daudi, yaani, Sayuni.

1 wafalme 11:13
13 Lakini sitauondoa ufalme wote pia; nitampa mwana wako kabila moja, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu, na kwa ajili ya Yerusalemu niliouchagua.Adui za Sulemani

1Wafalme 11:36
36 Nami nitampa mwana wake kabila moja, ili Daudi, mtumishi wangu, apate kuwa na taa siku zote mbele zangu katika Yerusalemu, mji ule niliouchagua niweke jina langu huko.

Vv
 
Back
Top Bottom