Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,888
- 16,121
Nilikuwa napitia kodi zinazotolewa na TRA kwa ajili ya imported cars nimechanganyikiwa. Ushuru unazidi gharama ya Gari? Hivi hapa kuna haki kweliiii?
Ndio maana ndugu zangu wanaenda kununua magari Uganda. Uganda hawana port but magari yanauzwa bei poa tu. Watu wa Arusha bandari yao siku hizi ni Mombasa.
Back to topic, TRA mngetengeneza magari bei yake ingekuwa VP?

Last edited by a moderator: