HIVI TOFAUTI NI IPI KATI YA COURSE YENYE MIAKA 4 NA ILE YA 3

Wanajamii hivi ni ipi tofauti ya kati ya course ya miaka 4 na ile ya miaka 3 na ipi ni ??

Nazani kwa course yenye miaka 3 inakuwa na course work chache ambazo mwanafunzi ataweza kuzikava ndani ya miaka 3, na hiyo ya miaka 4 inakuwa na course work nyingi ambazo zitakidhi hiyo miaka

Vile vile hizo za miaka 4 zinakuwa ngumu pia zinahitaji practices nyingi ili mwanafunzi aweze kuimudu vizuri taaluma yake, mfano uinjinia unahitaji muda ili kutoa mwanafunzi aliebobea au mwenye unafuu
 
Tatizooooooooo

1470762996005.jpg
 
Yaani umefikiri wee, ukaona hiyo ni hoja ya kujadili, Dah hapa kuna tatizo kwenye elimu
 
Nazani kwa course yenye miaka 3 inakuwa na course work chache ambazo mwanafunzi ataweza kuzikava ndani ya miaka 3, na hiyo ya miaka 4 inakuwa na course work nyingi ambazo zitakidhi hiyo miaka

Vile vile hizo za miaka 4 zinakuwa ngumu pia zinahitaji practices nyingi ili mwanafunzi aweze kuimudu vizuri taaluma yake, mfano uinjinia unahitaji muda ili kutoa mwanafunzi aliebobea au mwenye unafuu

Mkuu nafikiri Kinacho determine urefu wa kozi ni course unit. Mfano Engineering Total course unit ni at least 160 units, wakati course za education ni less than 100 units na zile za MD ndio usipime. ukibadilisha hizo units in term of time ndio utakuta course inaenda miaka 3, 4 na 5.
NB. 1 unit is equivalent to 1 teaching hour.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom