Hivi TMAA wanafahamu kwamba "dhahabu" ni pesa ?

K

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Messages
769
Points
500
K

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2017
769 500
Wana JF leo nimeshangazwa kisa hichi ndani ya gazeti la Daily News la 12/7/2019 page ya 3. Sijui kwanini tunajisahau au tunafikiri kwamba sisi wote ni kama malaika. Katika mawazo yangu nilidhani dhahabu inatunzwa chini ya usimamizi na ulinzi mkali ndani ya chumba maalumu kama "Strong Room" ambacho funguo zake hicho chumba lazima wawenazo watu wawili (2) ili kudhibiti upotevu. Sasa kama mtu moja anaweza kuwa na access na madini yote hayo unategemea kitatokea nini siku nyumbani kwake akiwa na shida ya pesa na kila siku ana madini hapo karibu ofisini?
Biblia inasema " Usinitie majaribuni" sasa naona ndo kama hayo majaribu.
Nashauri basi waende wakaulize benki wajue jinsi "Strong Room" pakutunzia pesa Benki zinavyolindwa na kuhakikisha funguo zinakaa na watu wawili ili kuweka ulinzi zaidi.
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,854
Points
2,000
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,854 2,000
Mkuu, unaweza kua na point but the way ulivyo andika is like wote tumelisoma hilo gazeti; gazeti lenyewe ni la serikali na baadhi ya watu humu tuna aleji na magazeti ya namna hiyo so hatutanunua, unaonaje kama ukitwambia kilicho andikwa humo ndio tuchangie maada yako!
 
K

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Messages
769
Points
500
K

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2017
769 500
Mkuu, unaweza kua na point but the way ulivyo andika is like wote tumelisoma hilo gazeti; gazeti lenyewe ni la serikali na baadhi ya watu humu tuna aleji na magazeti ya namna hiyo so hatutanunua, unaonaje kama ukitwambia kilicho andikwa humo ndio tuchangie maada yako!
Wameadika hivi " Police in Dar es salaam are holding a Tanzania's Mining Commission worker on suspicion of stealing 6.244 kilogramme of Gold worth 507.3 Million that was stored at the offices of the Tanzania Minerals
Audit Agency( TMAA) in Dar es salaam".
 
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Messages
1,537
Points
2,000
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2017
1,537 2,000
Wana JF leo nimeshangazwa kisa hichi ndani ya gazeti la Daily News la 13/7/2019 page ya 3. Sijui kwanini tunajisahau au tunafikiri kwamba sisi wote ni kama malaika. Katika mawazo yangu nilidhani dhahabu inatunzwa chini ya usimamizi na ulinzi mkali ndani ya chumba maalumu kama "Strong Room" ambacho funguo zake hicho chumba lazima wawenazo watu wawili (2) ili kudhibiti upotevu. Sasa kama mtu moja anaweza kuwa na access na madini yote hayo unategemea kitatokea nini siku nyumbani kwake akiwa na shida ya pesa na kila siku ana madini hapo karibu ofisini?
Biblia inasema " Usinitie majaribuni" sasa naona ndo kama hayo majaribu.
HILO GAZETI LA TAREHE 13 ULILICHAPA WEWE?????? :oops: :oops: :oops: :oops:
 
A

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Messages
4,962
Points
2,000
A

August

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2007
4,962 2,000
Wana JF leo nimeshangazwa kisa hichi ndani ya gazeti la Daily News la 13/7/2019 page ya 3. Sijui kwanini tunajisahau au tunafikiri kwamba sisi wote ni kama malaika. Katika mawazo yangu nilidhani dhahabu inatunzwa chini ya usimamizi na ulinzi mkali ndani ya chumba maalumu kama "Strong Room" ambacho funguo zake hicho chumba lazima wawenazo watu wawili (2) ili kudhibiti upotevu. Sasa kama mtu moja anaweza kuwa na access na madini yote hayo unategemea kitatokea nini siku nyumbani kwake akiwa na shida ya pesa na kila siku ana madini hapo karibu ofisini?
Biblia inasema " Usinitie majaribuni" sasa naona ndo kama hayo majaribu.
Ni kweli ulivyo sema tena moja awe mtaalamu wa Madini na mwingeni awe mwenye fani ya store keeper au muhasibu, na kuwe na periodic check ya mtaalamu mwenye kutambua madini na mtaalamu wa stores au uhasibu
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,854
Points
2,000
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,854 2,000
Wameadika hivi " Police in Dar es salaam are holding a Tanzania's Mining Commission worker on suspicion of stealing 6.244 kilogramme of Gold worth 507.3 Million that was stored at the offices of the Tanzania Minerals
Audit Agency( TMAA) in Dar es salaam".
Aise; kama hilo tukio ni la kweli then nakubaliana na wewe kabisa kwamba huo ni uzembe mkubwa sana. Thanks for sharing brother.
 
N

neurosurgeon

Senior Member
Joined
Sep 22, 2015
Messages
106
Points
195
N

neurosurgeon

Senior Member
Joined Sep 22, 2015
106 195
Wana JF leo nimeshangazwa kisa hichi ndani ya gazeti la Daily News la 13/7/2019 page ya 3. Sijui kwanini tunajisahau au tunafikiri kwamba sisi wote ni kama malaika. Katika mawazo yangu nilidhani dhahabu inatunzwa chini ya usimamizi na ulinzi mkali ndani ya chumba maalumu kama "Strong Room" ambacho funguo zake hicho chumba lazima wawenazo watu wawili (2) ili kudhibiti upotevu. Sasa kama mtu moja anaweza kuwa na access na madini yote hayo unategemea kitatokea nini siku nyumbani kwake akiwa na shida ya pesa na kila siku ana madini hapo karibu ofisini?
Biblia inasema " Usinitie majaribuni" sasa naona ndo kama hayo majaribu.
Mkuu TMAA imefutwa sasa hivi kuna tume ya madini ndio INA deal na kuhifadhi madini
 
issenye

issenye

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
2,335
Points
2,000
issenye

issenye

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
2,335 2,000
Hivi polisi wanajua bei ya dhahabu kweli au wanakurupuka tu kutaja dhamani? kilo sita (6) ya dhahabu iwe ths milioni mia tano tuuu, ajabu
 
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
13,740
Points
2,000
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined Oct 4, 2007
13,740 2,000
Mkuu TMAA imefutwa sasa hivi kuna tume ya madini ndio INA deal na kuhifadhi madini
Nashangaa hata hilo gazeti kuandika kuwa mtumishi wa Commission lakini madini yalikuwa yanatunzwa ofisi za TMAA! Waandishi wetu hatari. Hakuna kitu inaitwa TMAA leo
 
J

jijayetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Messages
726
Points
1,000
J

jijayetu

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2016
726 1,000
Hivi polisi wanajua bei ya dhahabu kweli au wanakurupuka tu kutaja dhamani? kilo sita (6) ya dhahabu iwe ths milioni mia tano tuuu, ajabu
KWANI BEI GANI? NA WW HUJUI KITU
 
Forum statistics

Threads 1,316,463
Members 505,652
Posts 31,891,271
Top