Hivi TBS/ SUMATRA hufuatilia ubora wa Chopa hizi?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Kwa haraka tu nayakumbuka baadhi ya matukio ya ajali hizi za chopa katika kipindi kifupi tu. Nakumbuka kuna mgombea mmoja Arusha wa CCM alinusurika kuanguka na chopa aliyokua ameikodi toka kwa Ndesamburo akidai kuwa ilikua mbovu na kutaka kumuua.

Pili ikatokea ajali ya chopa pale ilipokua inataka kuruka ikiwabeba viongozi wa mkoa wa Dar es salaam akiwamo Mkuu wa Mkoa, Kamanda Kova na Bw. Magufuli, hii ilianguka ingawa walipata majeraha kiasi.

Ikafuatia chopa ilioanguka maeneo ya Moshi Bar na kuua rubani, ikafuatia ajali ya chopa alionusurika mbunge kijana wa Arumeru mh Nassari baada ya kupata ajali mbaya na sasa imetokea hii iliochukua roho za watu 4, akiwamo kijana mpiganaji, mtetea wanyonge mh Deo Filikunjombe!

Napata shaka na ubora wa hizi chopa, hasa binafsi ikiwa kama zina ubora wa kutosha? Na vipi historia ya vyombo hivyo? Wapi na lini kimetoka na kufanya kazi kwa muda gani? Kweli kuna umuhimu wa kujua haya ili kuokoa roho za watu katika ajali hizi za kushtua.
 
Wanaohusika na ubora wa hayo makitu ni TCAA.......sasa sijui ni nini kinaendelea........either chopa zinaruka muda mrefu zinamaliza masaa bila kwenda ops au ni kitu gani........hapo sielewi.......
lakini inavyoonekana.........hizi ndude zinaruka masaa mengi sana..........
 
Nimemsikia mtaalam toka mamlaka husika akisema kuwa helkopta haiwezi kuanguka yenyewe peke yake. Lazima ilisababishwa na uzembe wa rubani. Nimemshangaa sana mtaalam huyu. Anaitwa Nyamwihula.
 
һuʏo mѧţѧѧʟѧmu ňı ċċm mѧѧňѧ ҡѧmѧ ıҡıɰѧҡѧ moţo яuɞѧňı ѧňѧusıҡѧjє.ѧu єňɢıňє zımєzımѧ ѧňɢѧňı һѧҡuňѧ mţѧѧʟѧmu һѧpo sıѧsı tupu
 
һuʏo mѧţѧѧʟѧmu ňı ċċm mѧѧňѧ ҡѧmѧ ıҡıɰѧҡѧ moţo яuɞѧňı ѧňѧusıҡѧjє.ѧu єňɢıňє zımєzımѧ ѧňɢѧňı һѧҡuňѧ mţѧѧʟѧmu һѧpo sıѧsı tupu

Kumbe kirusi kikiandikwa kiswahili nakiweza.........basi kirusi sio kigumu........aisee.......
 
һuʏo mѧţѧѧʟѧmu ňı ċċm mѧѧňѧ ҡѧmѧ ıҡıɰѧҡѧ moţo яuɞѧňı ѧňѧusıҡѧjє.ѧu єňɢıňє zımєzımѧ ѧňɢѧňı һѧҡuňѧ mţѧѧʟѧmu һѧpo sıѧsı tupu
hapo tu napo jikuta natamani ccm watoke wanachanganya mambo ya msingi na siasa mfyuuu
 
SUMATRA ndege haziwahusu, hiyo ni kazi ya TCAA Na TGFA. Wao ndio wamepewa jukumu la kuratibu safari za anga Na vyombo vyake pamoja Na ndege za serikali
 
Wanaohusika na ubora wa hayo makitu ni TCAA.......sasa sijui ni nini kinaendelea........either chopa zinaruka muda mrefu zinamaliza masaa bila kwenda ops au ni kitu gani........hapo sielewi.......
lakini inavyoonekana.........hizi ndude zinaruka masaa mengi sana..........

Chopa mbovu zile.
Kwakuwa wao ni serikali hawawekewi sheria ngumu kama Ukawa.
Sasa wanaumbuka.
 
Haya nimesikia na chopa aliokua amepanda Mh Lusinde ilisitisha kuanza safari baada ya kushindwa kuruka!
 
Back
Top Bottom