Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Toka nimeanza kutumia charger za simu sijui ni ngapi zimepiga shoti. Kamoja nilinunua tu na kukaweka kwa mara ya kwanza kakapiga shoti. Katika vitu fake vingi ni hizi charger na USB cable.
TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger zisizoeleweka.
TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger zisizoeleweka.