Elections 2010 Hivi tbc ni shilika la ccm au la walipa kodi wote wa tz?

Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,932
2,832
Wapendwa, nimekuwa napata kichefuchefu naposikiliza watangazaji wanavyojikomba kwa ccm na wagombea wake na wanafikia hata kuwanyanyapaa wagombea wa vyama pinzani kiwazi wazi. Yaani ni aibu, mpaka nilikaa nikafikili kuwa hivi hakuna mtangaji hata mmoja aliye smart kujua wajibu wake kama mtangazaji kwa jamii hasa ktk kipindi cha campaign na uchaguzi na hata kutoa matokeo!
Nachelea kuamini kama hawa jamaa walipata post hizo kihalali au walibebwabebwa tu. nachelea kuamini kama hawa jamaa walielimika kweli walipokuwa vyuoni!
Star tv ilikuwa wazi kwamba inawezekana mmiliki aliwapa instructions kupigia debe ccm kitu ambacho kime backfire na kum'cost' mmiliki wao, kwani wananchi walikelwa na upendeleo wa wazi walioonyesha watangazaji hasa huyu Mhozya ambaye alikuwa na kihelehele zaidi ktk kupigia debe ccm na kuwaponda wapinzani kwa kauli zake, na hata kutowapa muda wajieleze kwa kina! Shame upon you:A S cry::A S cry::sad::sad:!
 
Hata chanel 10 ya wahindi imemponda sana Dk Slaa tangu kipindi cha kampeni
 
Sasa mnataka waseme UONGO? Wanachosema kwamba JK anapeta zaidi ya wenzie,,huo ni uongo???
japo unauma....ndio ukweli wenyewe huo.....teh teh
 
Kuna m2 anaitwa marine hassan, huyu jamaa kachanganyikiwa na ccm yake, anaongea ka chiriku maneno yasiokuwa na maana kwa vyama pinzani. Anajiona anajua mambo kumbe mbumbumbu tu.
Sio tv ya umma bali tbcccm
 
Hata mwenyewe nilijiuliza sana kwan hawakutaka kutangaza hata matokeo ya vituo vichache vichache ili watu wapate mwelekeo,
hata hivyo itakula kwao mwaka huu
 
Hivi huyu ndie Hasan Malin aliyekuwa analipote kutoka kenya kwenye uchaguzi wa mwaka jana?watu kama hawa upata shida sana maishani ataishia kubambikiziwa kesi siku moja.
 
Back
Top Bottom