Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,832
Wapendwa, nimekuwa napata kichefuchefu naposikiliza watangazaji wanavyojikomba kwa ccm na wagombea wake na wanafikia hata kuwanyanyapaa wagombea wa vyama pinzani kiwazi wazi. Yaani ni aibu, mpaka nilikaa nikafikili kuwa hivi hakuna mtangaji hata mmoja aliye smart kujua wajibu wake kama mtangazaji kwa jamii hasa ktk kipindi cha campaign na uchaguzi na hata kutoa matokeo!
Nachelea kuamini kama hawa jamaa walipata post hizo kihalali au walibebwabebwa tu. nachelea kuamini kama hawa jamaa walielimika kweli walipokuwa vyuoni!
Star tv ilikuwa wazi kwamba inawezekana mmiliki aliwapa instructions kupigia debe ccm kitu ambacho kime backfire na kum'cost' mmiliki wao, kwani wananchi walikelwa na upendeleo wa wazi walioonyesha watangazaji hasa huyu Mhozya ambaye alikuwa na kihelehele zaidi ktk kupigia debe ccm na kuwaponda wapinzani kwa kauli zake, na hata kutowapa muda wajieleze kwa kina! Shame upon you:A S cry::A S cry::sad::sad:!