Hivi TBC mnajielewa kweli? Saa 4 usiku mnaonyesha cartoons wakati watoto wameshalala

Kwa kweli mna bored muda huu hata mngeweka picha ya Bushman ingependeza mnaweka cartoons kweli Kodi zetu ndio mnazitumia hivyo?
Inatusaidia wenye chumba kimoja na siting'irumu, watoto wanaangalia katuni huku baba na mama tunawatengenezea wadogo zao.
 
Back
Top Bottom