Hivi tatizo ni sisi wananchi au viongozi wetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi tatizo ni sisi wananchi au viongozi wetu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dio, Feb 12, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mambo vp wana forum mim ni mgeni hapa na ni post yangu ya kwanza,
  eti ili suala la ukosefu wa maadili kwa viongozi wetu,ni sisi ndio chanzo kwa sababu hatufanyi reation yeyote au nyie mmnasemaje?
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,517
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Tatizo ni wananchi kwa sababu viongozi hutokana na wananchi. Kama wananchi ni wapumbavu au wajinga, ni wazi kuwa hata viongozi watakuwa hivyo2.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  proof read and edit...halafu nitarudi tena kujua unamaana gani
   
 4. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Humfanyii mtu jambo baya makusudi ili a-react.Sote tunapashwa kutenda mema na kutimiza wajibu.
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na maanisha tusiishie kwny maneno tu,bali tufanye vitendo.
   
Loading...