Hivi Tanzania mamlaka yenye nguvu zaidi ni bunge tu au kuna mamlaka zaidi hi

Alsina

Member
Feb 2, 2019
17
11
Kama una jibu nijuze maana kipindi hiki nimeshuudia nguvu ya spika wa bunge kujifanya super power
 
Kwa sasa majibu YA maswali mengi ni magumu kwakweli. Neno kwa mujibu wa sheria, kama linatoweka vile!
 
Back
Top Bottom